MMU hot talk

Miss Neddy

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
14,681
8,707
HI WANA MMU Hot Talk!

Mtazamo wako juu ya suala zima la ndoa na changamoto zake Kutokana na mafanikio makubwa yaliyopatikana wiki iliopita ambapo mgeni mualikwa, mie host, na wachangiaji takribani 5 kupigwa Ban na report abuse kufikia 500 kwa uzi mmoja imenibidi kuendelea na program hii. Lara 1, Matola, na ndugu na jamaa wengine wote mliokuwa nyuma ya nondo mchango wenu wa kuunga mkono hii program utakumbukwa daima.

Nashukuru kwa sapoti mnayonipa. Dhima ya hizi HOT TALK ni kuongea na vijana single who are ready to mingle kutaza mitazamo yao juu ya Ndoa, kwani hawajaingia, wanafanya nini kitaaa, na kuwapa changamoto ya kusulubishwa na hadhira kuhusu mitazamo yao, labda watajifunza mawili matatu.

Wale mnaodai wake za watu ndo wahojiwe mtanisamehe sanaa, anzisheni kijiwe chenu, hiki ni kijiwe cha single and ready to mingle kuongelea miazamo ya ndoa.

Kama haikubariki nyuzi ziko jamani tumuepushe shetani. Ukitazama kwa undani wewe mke wa mtu uje utaweza kasa kash za hadhira? Ukiambiwa mumeo hana maana na wachangiaji utafanya nini? Hakunaaaa! Ndo maana haina point kuhoji wake za watu, sababu aftermath yao ishaamuliwa.

Single ladies and gentlemen who are ready to mingle its friday, its hot talk na Miss Neddy Angelita.

TAFADHALI TAFADHALI SANAAA NAOMBA MSIINGILIE HUU MTIRIRIKO ILI MFAIDI VIZURI. JIHESHIMUNI MHESHIMIWE.

MUWE TU WAUNGWANA MWISHONI MTATOA YENU.
 
Nashukuru sana miss neddy kwa nafasi adimu uliyonipatia, wengi wanatamani nafasi kama ii hawapati. Ni jambo kubwa sana nashukuru nikama mc kupewa mic.

hahaha
nadhani unatambua mgeni wangu wa week iliyopita alipigwa ban wewe umejipangaje na mvua mawe utakayotupiwa na kwanini ulikubali kufanya hii interview wakati watu wengi wanaipiga vita
 
Last edited by a moderator:
hahaha
nadhani unatambua mgeni wangu wa week iliyopita alipigwa ban wewe umejipangaje na mvua mawe utakayotupiwa na kwanini ulikubali kufanya hii interview wakati watu wengi wanaipiga vita

Nimekubali ii chance kwasababu ni adimu watu wengi wanaitolea mate napenda kuwa recognized kuwa noticed hata hao watupa mvua ya mawe wanaitamani.
 
Popcorn.gif
 
Qn. 2 Tupe wasifu wako kidogo, umri
wako, unafanya nini mjini, dreams
zako na ambition kidogo tu walau
tukujue mgeni wetu
 
good kumbe bado mbichi eeeh teambazazi wasione lol
Qn 3 How old did you start sex! Not
dating Sex! Na unavoona over the
years performance yako sekta hio
inakua au vipi ukijirate mwenyew
 
good kumbe bado mbichi eeeh teambazazi wasione lol
Qn 3 How old did you start sex! Not
dating Sex! Na unavoona over the
years performance yako sekta hio
inakua au vipi ukijirate mwenyew

Hahahaaaaaa... Na wasione kweli.
Nakumbuka nilikuwa na miaka 17 nilikuwa kidato cha nne(msitake kujifanya mapema). Kiwango changu kimekuwa kwa kiasi kikubwa sana, kadiri siku zinavyosonga najifunza na kuibua mambo mapya.
 
hahahhaa kumbe una experience ya kutosha am kidding
Qn 4 Je unatamani kuolewa, na
unatamani kuolewa na mwanaume wa
aina gani? Your dream man tupe sneak
peek!
 
hahahhaa kumbe una experience ya kutosha am kidding
Qn 4 Je unatamani kuolewa, na
unatamani kuolewa na mwanaume wa
aina gani? Your dream man tupe sneak
peek!

Kusema ukweli sitamani wala sifikirii kuolewa kwasasa, kuolewa kupo tu hakuna tuzo wala hakuna mwisho kama Mungu amenipangia wakati ukifika ntaolewa, mbona kina Natasha na Upendo Nkone wameolewa( natania). Napenda mwanaume mrefu sababu Mimi mrefu pia asiwe mwembamba awe na mwili kama wa watu8 na mweusi ila sio sana.
 
Last edited by a moderator:
Koh! Koh! Koh! WE MWANA WEEEEEE! Nawatizamaaa tu! Niko standb kwa ban hapa! Anyway nasubiri turuhusiwe

Hahahaa afu mtanange wa sikuile ulinipita nlisinziaa nmekuja kustuka asubh na uzi umefutwa.....cjui ni wambea gan walio urepot ule uzi skile
 
Back
Top Bottom