MMU hot talk

MMU hot talk

Mwache afuraie humu...kale kabinti kake kaje kamletee lizee ndio atajua tunaongelea nini humu...

Huwezi kusema kuzini ni kuzini tu...anayevunja ndoa za watu na anayetembea na kijana mwenzie wote ni sawa...
Achana na mambo ya dini...hawa ndio wanatuchafulia jamii...jamii inajengwa na familia si ufuska...period...

Ila kuna watu sipendi hata kuwajibu maana nikishajua tunatofautiana in all aspects why waste my time and energy...

You can say that again...utapoteza muda tu na ushuzi huu...so unakaa kimya tu na kuwa mtazamaji
 
Dada Heaven on Earth,haya makosa tunayofanya tunawafanyia binadam wenzetu,na mungu anasema umwombe kwanza msamaha binadam uliemkosea ndio uende kwake...icho ulichosema ni uongo.

Wenye uelewa waliuliza swali kwani ilikuwa kwann ulifanya nadhani walipata maelezo.
Sasa wadandia treni kama wewe wamedaka tu mume wa mtu nakuanza kutoka povu.

Mimi na mke wake tunajuana na tuliongea, kwanza ananishukuru kwa kumrudisha mumewe kwenye msitari, mana alikuwa hakamatiki na anaomba kila siku nikubali mumewe anioe mke wa 2 dini yao inaruhusu. Sitokujibu zaidi pitia mtiririko wote ndo uje utokwe povu sio unadandia bila kujua hadithi ipoje.
 
Mwache afuraie humu...kale kabinti kake kaje kamletee lizee ndio atajua tunaongelea nini humu...

Huwezi kusema kuzini ni kuzini tu...anayevunja ndoa za watu na anayetembea na kijana mwenzie wote ni sawa...
Achana na mambo ya dini...hawa ndio wanatuchafulia jamii...jamii inajengwa na familia si ufuska...period...

Ila kuna watu sipendi hata kuwajibu maana nikishajua tunatofautiana in all aspects why waste my time and energy...

Mkuu ukiona nguo sio size yako unaiacha, Mimi kitu kama sikipendi na kinanikera napita kando sio kila thread lazima uweke comment yako, ila tunashuku kwa mchango wako.
 
Sijui ni coincidental kuwa wanaume wote wenye michepuko wanafanana tabia...
Nimeshasikia kwa vimada wengi sana story kama za Ange...'huyu mwanaume alikuwa mcharuko mimi nimemtuliza'
'mimi ndio namsisitiza asisahau familia'...'namzuia asilale kwangu'...'huwa naifanyia shopping familia yake' and the like...

Next time muwaite na hawa mababa wenye mipango ya kando watupe nao the other side of the story ili tuweze ku balance...
 
Dada Heaven on Earth,haya makosa tunayofanya tunawafanyia binadam wenzetu,na mungu anasema umwombe kwanza msamaha binadam uliemkosea ndio uende kwake...icho ulichosema ni uongo.

Kwahiyo unataka akamfate mke wa huyo mwanaume aanze kuomba msamaha, humtakii mema wewe..
 
Sijai dis thread yote...ila kuna watu nawajua tokea, na sipendi kuwajibu..you are not one of them kwanza nimekujua thru hii thread tu...

Na tunapo comment haina maana tunakujibu wewe ...

Huu ni mjadala...una represent wengi tu nyuma ya key board na comment yangu inaweza ikawa na maana kwao...

Mkuu ukiona nguo sio size yako unaiacha, Mimi kitu kama sikipendi na kinanikera napita kando sio kila thread lazima uweke comment yako, ila tunashuku kwa mchango wako.
 
Sijui ni coincidental kuwa wanaume wote wenye michepuko wanafanana tabia...
Nimeshasikia kwa vimada wengi sana story kama za Ange...'huyu mwanaume alikuwa mcharuko mimi nimemtuliza'
'mimi ndio namsisitiza asisahau familia'...'namzuia asilale kwangu'...'huwa naifanyia shopping familia yake' and the like...

Next time muwaite na hawa mababa wenye mipango ya kando watupe nao the other side of the story ili tuweze ku balance...

Hahahahaaaaah, sikuyatamka Mimi mke wake, unaonaje ukijitolea kukutana na wahusika live uje uwahadithie wenzako????? PM kwahatua zaidi.
 
Kwahiyo unataka akamfate mke wa huyo mwanaume aanze kuomba msamaha, humtakii mema wewe..

images
 
Msamaha wa nini? MAISHA YAKIPANGA KUKUFANYA VIBAYA YANAKUFANYAZIA TU! Huyo mume hata asingemchukua Angelita angechukua hata BAA MEDI, NOT that im dissing the profession nimewapa shout out tu! hahaaaaaaaaaaa!
 
Nitakuwa mjinga kiasi gani kutokufikiria future yangu, kwani Mimi siitaji kuwa na familia yangu, Matola hadithi yangu tofauti na zingine, nimekuwa na huyu mtu kwa miaka 3 sasa, baada ya miaka 2 ya mahusiano ndo nilijua kama ana mke tena baada ya mke wake kunitafuta ingawa yeye miaka yote alitambua uwepo wangu, na miaka yote 2 najulikana na wazazi na ndugu zake.

Hii ni excuse dhaifu sana, haiwezekani mtu mwenye akili timamu uwe kwenye mahusiano na mwanaume kwa mwaka mzima na hajaoa halafu asikupeleke nyumbani anakoishi.

I don't buy this cheap story.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaah, sikuyatamka Mimi mke wake, unaonaje ukijitolea kukutana na wahusika live uje uwahadithie wenzako????? PM kwahatua zaidi.

Hahahahaaaaaaaaaaaaaa! SHOSTI BIRTHDAY PARTY YAKO UNAYOFANYIWA USIACHE KUNIALIKA!!!!!!!!!!! HAACHWI MTU HAPA! MKEWE ATA JIJU NA KUJI JJJJJJJ!!!!!!!!!! Kanisambazeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Mwenye mume kakubali yote itakuwa hawa? Hahahaaaaaaaaaaaaa! AMWAMBIE MISS NEDDY AJE NAO AWAFANYIE HOT TALK IKIMBARIKI SI NDO INTERVIEW YAKE ANAALIKA WATU, WE UNAHUSIKA VIPI HAPO!

Weweweeeeeeeeeeeeeeeee! MADA IMEKUWA MPERA MPERAAAAAAAAA!
 
Te te te unitakii mema...yani kabisa nikakutane na Mrs and Mr fulani...ili tu nilete ushaidi JF MMU...

Ila what I know for sure huyo mke wa huyo jamaa atakuwa either mgonjwa hawezi kutoa service kwa mumewe au nati imelegea kichwani...au na yeye ana michepuko yake haoni kwa nini awe na wivu...

Kuwa makini mdogo wangu...jiulize mko wangapi????

Hahahahaaaaah, sikuyatamka Mimi mke wake, unaonaje ukijitolea kukutana na wahusika live uje uwahadithie wenzako????? PM kwahatua zaidi.
 
Sijai dis thread yote...ila kuna watu nawajua tokea, na sipendi kuwajibu..you are not one of them kwanza nimekujua thru hii thread tu...

Na tunapo comment haina maana tunakujibu wewe ...

Huu ni mjadala...una represent wengi tu nyuma ya key board na comment yangu inaweza ikawa na maana kwao...

Mkuu Mimi ndio msahiliwa hapa na Mimi ndio starring kwenye huu mjadala, Mimi ndio nimewapa cha kujadili hapa.

Anzisha thread yako weka ushauri wako huko tena itakuwa rahisi kuwafikia wengi, maana itaonwa na wengi kuliko hapa hadi comment yako ionwe sio rahisi zaidi usituwewesekee hapa.
 
Wenye uelewa waliuliza swali kwani ilikuwa kwann ulifanya nadhani walipata maelezo.
Sasa wadandia treni kama wewe wamedaka tu mume wa mtu nakuanza kutoka povu.

Mimi na mke wake tunajuana na tuliongea, kwanza ananishukuru kwa kumrudisha mumewe kwenye msitari, mana alikuwa hakamatiki na anaomba kila siku nikubali mumewe anioe mke wa 2 dini yao inaruhusu. Sitokujibu zaidi pitia mtiririko wote ndo uje utokwe povu sio unadandia bila kujua hadithi ipoje.

Tatizo umebanwa na emotions sana,mpaka unatukana na nini na nini...basi sawa...kwahiyo mmekutana wote watatu mkakubaliana mshee mume?na wewe na utashi wako ukaona ni sawa kabisa 100%??...basi kama umeamua hivo ni sawa....halafu,mliwashirikisha watoto labda maana na wao ni wadau ujue!...basi upo sahihi kinooma!
 
Hii ni excuse dhaifu sana, haiwezekani mtu mwenye akili timamu uwe kwenye mahusiano na mwanaume kwa mwaka mzima na hajaoa halafu asikupeleke nyumbani anakoishi.

I don't buy this cheap story.

Hahahahaaaaaaha, sio lazima uamini Mkuu ukweli ninao Mimi.
 
Back
Top Bottom