Hot talk na tumboo live kuhusiana na kwanini wasichana wanang'ang'ania Ndoa

Miss Neddy

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
14,681
8,707
Hi wana MMU

I hope wote mko sawa kabisa ni siku nyingine tena tunakutana katika hot talk kuongelea changamoto zinawakabili single ladies and gents kuelekea katika taasisi ya NDOA.

Ndoto zao, malengo yao na juhudi zao kwa ujumla jinsi gani wanahimili pressure kutoka kwa familia pamoja na jamii yote.

Leo niko na TUMBOO its friday again let us enjoy together.
N.B
HAMRUHUSIWI KU COMMENT MPAKA NIWAAMBIE
 
Tumboo
1. Unajua kilichowakuta washiriki
waliopita. Umejipangaje na Hot Talk
na kukabiliana na hadhira.
 
Last edited by a moderator:
Tumboo
1. Unajua kilichowakuta washiriki
waliopita. Umejipangaje na Hot Talk
na kukabiliana na hadhira.

Washiriki waliopita walikutana na changamoto nyingi sana........ Lala1 alipigwa ban..... angelita alijibu alichoona yy ni sahihi..........najua binadamu tunatofautiana ufahamu na mawazo kiujumla .......wazo la mwingne aliwezi kua sawa na langu na pia langu laweza kutokua sawa na mwingine. ..........
 
Last edited by a moderator:
Naomba utamuuliza hili swali kwanini wanawake wengi linapofika suala la ndoa huwa wanafikiria sana na kuhangaika na harusi kuliko ndoa yenyewe? mwingine nilimhoji akasema yeye bila harusi hakuna ndoa hii ikoje? samahani kwa kuingilia
 
2.Sasa hivi unafanya mini mjini?
Unasoma, umeajiriwa, unatega mende
lol! Unajishughulisha na nini?
 
2.Sasa hivi unafanya mini mjini?
Unasoma, umeajiriwa, unatega mende
lol! Unajishughulisha na nini?

Hahahahaaa lol umenifanya nmecheka ati.........kwa sasa npo chuo........ cjawahi kuajiliwa .....wala cjawahi kutega mende
 
Naomba utamuuliza hili swali kwanini wanawake wengi linapofika suala la ndoa huwa wanafikiria sana na kuhangaika na harusi kuliko ndoa yenyewe? mwingine nilimhoji akasema yeye bila harusi hakuna ndoa hii ikoje? samahani kwa kuingilia


Mkuu huelewi kiswahili? mbona mnatukatisha stimu? Hatujaruhusiwa
 
hahaa
haha kama unanidanganya haya
3.Unapenda wanaume Wa aina gani?
Nini haswaa ndo ugonjwa wako
 
Kiukweli napenda mwanaume mrefu asiwe mwenye mwili ila sio sanaa kitambi cha kishkajii si unajua tena mie mwenyewe mrembo.......mwanaume mwenye mvuto wa kimapenzi ata ukitembea nae unajiskia ati sio mwanaume kituko mie hakaa ........pia awe anajua kujalii kwa kila kitu.....pia spendi mwanaume mwenye dharauu maana kuna midume minginee inajiskiaaaa basi miee npo tofautii na jidumee lenye dharau
 
hahaha et kitambi cha kishkaji wanasema cha kuvalia tie au kufutia kioo cha simu hahhaa
4. Suala la ndoa mini mtizamo wako
kwa ujumla?
 
Mwenzangu rahaa ya mwanaume kifua kijazieee kidogo lol kwanza hata akivaa ana pendeza sio mwanaume mwembamba ka mlingotii miee hapanaaa yaaanii tenaa hapana
 
Mwenzangu rahaa ya mwanaume kifua kijazieee kidogo lol kwanza hata akivaa ana pendeza sio mwanaume mwembamba ka mlingotii miee hapanaaa yaaanii tenaa hapana

swali la 4 hujajibu Tumboo
 
Last edited by a moderator:
19:03 mpaka 19:48 maswali 3 tu, duh! Namaliza heinken ya nne sasa topic iko page 1! Alaa, mnataka muulizane nikiwa nimeshalewa sioo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom