MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

Haahaa ndio ukweli ukiwa unakubali....
We grow up everyday ...thanx...

Mkuu Hongera sana Umethibitisha kweli mwanaume ni kichwa cha nyumba na siyo cha kufugia nywele tu na kuweka akili zinazochaji na zilizotukuka...
Mkuu nimejifunza mengi kupitia hii enterview shukrani kwa wote waliofanikisha hili Lara 1, Zinduna, The Boss na wengineo.
 
Hehehe, nilikuambia usishabikie hizi mambo hukunielewa. Mie mtu akishakuwa celeb nakaa kando kuepusha msongamanoooo.

Pole, ngoja nikakupunge mawazo, all bills on me, nna kadi ya kuchanja Paw kanisusia hapa.
he he he, umbea 3rd order umeanza lini.

note: kweli kajimimina.
Namsaka kaka shemeji
 
Mkuu sikusema tu ili kufurahisha genge
kwangu naona ni muhimu kuwa sensitive na what women goes thru wakai wa uzazi
so kama shepu itabadilika sana,hata yeye mwenyewe atakuwa anajua
huihitaki kumuongeza stress zingine wakati tayari ana stress za uzazi...
it takes time haya mambo

Nimeipenda sana hii, nina uhakika wifi yangu is the happiest woman in the world akiamua lakini kwani ingredient zote muhimu zipo at her disposal.
 
Usije ukatumia kona ya mwenzio kufunga bao kwa kichwa. Nasema tu, na ujue mie kiona mbali long time kitambo.

Salama salama?
Tuko pamoja sana mamito. Mungu amjalie mumeo atambue thawabu unayomtunuku.
Kama hutojali niunganishe nae nimlete JF aona unavyompa mfagio.lol
 
Sijasoma comment yako hapa ujue. Niko curious kujua how do you handle situations!lol

Dady bana mfukunyuku kama nini...Sina uhakika kama nina moyo kama wa kasiko.. Kuna vitu huwa siangalii sana kama vidato na pesa..Lakn pia huwa naangalia kama mtu anajibidiisha na sio mvivu..
Ila naomba niseseme sana hapa mitamwaga mchele kwenye kuku wengi..
 
Masawali gani tena haya KOKUTONA?
Kuwa na mzigo daily na kutunukiwa mautundu ni vitu viwili tofauti. we unafikiri kwanini watu wanafanyiana mambo ya temeke?

Ha ha ha POTI Mwita Maranya umenichekeshaaa.

Kwa hiyo mizigo ya nje inajituma mbaya? Inaonekana una ka exp.. Sasa kuliko kufanya yale ya temeke si bora kujichukuia na wewe cha juu ukafaidi mdogo mdogo?
 
Last edited by a moderator:
Naona leo mzee mzima Dark City unawapigilia misumari ya moto tu wajukuu zako. Hata wabishi kama LARA1 wanakukubali kumoyo!!!
Walikuwa wanadhani umechoka mwili na akili, hapa umewadhihirishia kwamba uko fiti zaidi ya mbwa wa FFU!!!

Nasikitika sijaona comments za best'angu nivea na mchumba'angu mwaJ!!!:smile::smile::smile:

My dear Mwita Maranya huu uzi leo umenikalia vibaya maana mkoloni wangu amehakikisha sipati muda wa kuvinjari JF kwa nafasi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom