MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

Hili ni ONE FOR THE ROAD

Qn: Wadau Fungeni Macho: HYPOTHETICALLY THINKING!!!! Mimi nikikupa ofa ya GAME MOJA TU ya kirafiki, No committment, No strings attached, Jst Pure Fun Utakubali? (Think twice! Golden chance dsnt come twice!! LOLEST!) Ofcourse game ya GOLF!!!!!


SHUKRANI ZA DHATI KWA KUWA NASI LEO!!!!!!!! KARIBUNI MFUNGUKE!!!!!!!!!!

Utovu wa nidhamu na ukosefu wa ustaarabu uliooneshwa na baadhi yenu MJIREKEBISHE!!!!!!!!!



Haa haa we mtoto usually na deal na mama zako au dada zako wakubwa
nahofia utaniganda mno.....so yes only golf of course lol
...
kwa mengine nitafutie dada zako au mama zako wadogo hivi lol
karibu tena.....nashkuru kwa interview ...lol
 
Binafsi hata uniwekee AK47 siwezi kukubali kitu cha kupewa pewa tu bila kukiihangaikia....

Ni sawa na kunilazimisha kula wakati nimelala fofo...

Babu DC!!

Hahaaaaaaaa! YOU DONT KNOW WHAT YOU ARE MISSING!!!!!!!!!! lol! Jamani hata ofa ya game ya Golf kutupi tu vipira shimoni, lazima ujishauri!!!!!!!? Kweli umezeeka babu!
 
The Boss,
Umefunguka vizuri safi sana...vipi kule jukwaa la siasa kuna members gani wanakuvutia unapenda kujifunza kutoka kwao na kuna members gani ambao unapenda tu kuwasoma kutokana na michango yao.
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaaaaa! YOU DONT KNOW WHAT YOU ARE MISSING!!!!!!!!!! lol! Jamani hata ofa ya game ya Golf kutupi tu vipira shimoni, lazima ujishauri!!!!!!!? Kweli umezeeka babu!


I know lara 1, but sijutii kabisa...

By the way, gate lilishafungwa kitambo and no more admissions....Kama huamini muulize mama wa nyumba Blaki Womani!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Binafsi hata uniwekee AK47 siwezi kukubali kitu cha kupewa pewa tu bila kukiihangaikia....

Ni sawa na kunilazimisha kula wakati nimelala fofo...

Babu DC!!

Mbona unawaangusha wazee wenzio babu.
Siku hizi tunavichuna vibabu kweli kweli maana yale mambo ya coni vibibi vyao haviyajui wamebaki tu kubwia ugoro LOL
 
The Boss,
Umefunguka vizuri safi sana...vipi kule jukwaa la siasa kuna members gani wanakuvutia unapenda kujifunza kutoka kwao na kuna members gani ambao unapenda tu kuwasoma kutokana na michango yao.

Kuna member wengi kulingana na threads
ndo maana huwa sipendi kutaja
Kuna member unamkubali jukwaa la jf doctor mfano
na wengine siasa na hapa MMU...lakini ni wengi kwa kweli....
 
The Boss UMETISHAAAAAAAAA!!!!!!!! Dah! Nadani kuna wadada walitamani wakurukie WAKUNG'ATE au WAKUKULE KABISA!!!! LOLEST!!!!!

Kweli Shost, tumeanza vizuri na ninaamini huko mbeleni mambo yanaweza kuwa mazuri zaidi.

Ombi kwa wadau: mtuwache basi tumalizage, maana mkiingilia kama mlivyofanya leo mnaharibu na mtashindwa akupata utamu uliokusudiwa.

Shukran kwa The Boss UMETISHA MBAYAAAAA LOL
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom