MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

Mbona unawaangusha wawee wenzio babu.
Siku hizi tunavichuna vibabu kweli kweli maana yale mambo ya coni vibibi vyao haviyajui wamebaki tu kubwia ugoro LOL


Hicho kitendo cha kutoyajua ndo raha yenyewe.....

Mbali ya bibi, hakuna mtu anaruhusiwa kuuona mlanfo wa ikulu....believe my words Zinduna,

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hili swali ni very interesting....
na watu wengi wakiulizwa wanachojibu na wanachokifanya in real life unaaweza kukuta ni tofauti sana..

kadri tunavyokuwa tunazidi ku discover ukweli kuhusu sisi wenyewe

Binafsi niliwahi kufikiri mwanamke mwenye wowowo kubwa ana ni turn on..
lakini kumbe sivyo kabisa....
right now 'good sense of humor' na 'chemistry' vinani turn on zaidi
na kama yuko vizuri kwenye general knowledge....
mtu ambae unaweza ongea nae chochote na kutaniana nae kirahisi....
rafiki yangu The Boss, hongera sana kwa majibu ya maana ya huu mjadala, kwa kweli umeonyesha ukomavu wako katika maswala mazima ya mmu, big up!
nayakubali karibia majibu yako mengi uliyoyatoa ila (kwa upande wangu) hili la RED, LIMEFUNGA KAZI. nimelipenda mno na ni msingi mzima wa SUSTAINABLE RELATIONSHIP.
Once again hongera sana
 
Last edited by a moderator:
Kweli Shost, tumeanza vizuri na ninaamini huko mbeleni mambo yanaweza kuwa mazuri zaidi.

Ombi kwa wadau: mtuwache basi tumalizage, maana mkiingilia kama mlivyofanya leo mnaharibu na mtashindwa akupata utamu uliokusudiwa.

Shukran kwa The Boss UMETISHA MBAYAAAAA LOL

Asante na wewe kwa interview
Wewe na Lara1 mmeonesha uwezo mkubwa
wa kuuliza maswali bila kuharibu lugha
i hope mtazidi kufanya makubwa zaidi ya hapa
thanx...
 
Kuna member wengi kulingana na threads
ndo maana huwa sipendi kutaja
Kuna member unamkubali jukwaa la jf doctor mfano
na wengine siasa na hapa MMU...lakini ni wengi kwa kweli....

Utatajaje bwana na wewe The Boss,

Hayo mambo ya kuanza kutaja majina waachie waimbaji wa hip pop!!

Ndo maana nimekuvulia kofia....Akili ya kichwa kikuwa lazima iwe juu siku zote!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
rafiki yangu The Boss, hongera sana kwa majibu ya maana ya huu mjadala, kwa kweli umeonyesha ukomavu wako katika maswala mazima ya mmu, big up!
nayakubali karibia majibu yako mengi uliyoyatoa ila (kwa upande wangu) hili la RED, LIMEFUNGA KAZI. nimelipenda mno na ni msingi mzima wa SUSTAINABLE RELATIONSHIP.
Once again hongera sana


I am humbled kwa uliyoyasema
thanx a lot....
karibu sana...
 
Kwa nini wasiende wakatafuta watu wao?

Kama wameshindwa basi waombe msaada....

Simshauri The Boss ku-entertain PM kuanzia leo...

Babu DC!!
ha haaaaaaaaa, babu mwache mwenzio achangamshwe kidogo na vijana, usimbanie, lol!
naamini kuna vijana wengi sana wameshaanza kutiririka kwenye PM.
Rafiki The Boss, password yako ni lile ile ili nikusidie kuzijibu?
 
Last edited by a moderator:
Show ilikua nzuri sana, maswali yalikua yenye mwelekeo wa kujenga vilevile kudadisi.
Kama ni upele ulipata mkunanji, The Boss kayajibu maswali kwa ufasaha kulingana na hulka ya sisi wanaume. Nimeweza kugundua huyu jamaa ni mmoja kati ya wanaume smart hapa MMU na JF kwa ujumla. Hakika tupo wachache ukiacha ile mizaha midogo midogo tuitumiayo kuchangamsha wanajamvi nyakati tofauti tofauti.
Ombi langu kwa watu wote, tuweni wavumilivu nyakati za interviews. Ni vyema kwa waendesha show na mgeni wakamaliza maswali na majibu ndipo nasi tujimwage jamvini.
Kuna wakati nahisi akili zetu za Chit chat(wengi wa wanaCC ni wanaMMU pia) huwa zinatufanya kuleta masikhara hata kwenye majukwaa nyeti.
 
Last edited by a moderator:
THe BOSS its true that you are the big Boss, najua akina lara1, madame B, Zinduna na hao wengine wote tunaowafahamu walikuwa na kimuhemuhe cha kutaka kukuchokonoa ili wajue yaliyondani lakini umeweza kuwapembua wote. Big up mkuu.

Lakini vilevile kama ninavyomkubali siku zote lara1 na Zinduna kwa pamoja wamejitahidi ku host kipindi. Thanxs.
 
images
 
...hivi Zinduna na lara 1 huyu mzee lini? nina hamu kweli ya kuwasoma, bila kumsahau BAK na Asprin


The Boss,

You are my man...the gineous of JF...

Hata sijui nikupe zawadi gani.....utanambia baadaye....Big up!

Ila umenisaidia kwani siwezi tena kualikwa na hawa wadada!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom