Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,316
- 46,863
Aah wapi..wangeshaandamana kitambo..huoni wanaovunjiwa vibanda vyao na wametulia tu na wengine wanahama wenyewe..Mama pia awe makini maana hawahawa ndio wanaweza wakaanzisha maandamano ya kumtoa madarakani.
Na uhakika hawa jamaa wakisimama kidete, polisi hawawezi fua dafu, na hapo ndipo awamu ya sita tutaanza kuona mapichapicha ya ajabu.
Ustaraabu ufuatwe.
Sent using Jamii Forums mobile app