Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,777
- 34,690
Unanipangia swali la kuuliza?Ulipouliza swali Mbona haukujiuliza wale waliohamisha vitu vyao bila shida wameenda wapi?
Hakuna maisha yasiyo na utaratibu! Hata kwenye kula kuna utaratibu
Ndiyo maana nimekuambia usilete siasa za kitoto kwenye maisha ya watu.