Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,307
- 18,769
Acha uongo police hawana uwezo wa kupambana na machinga,Mbeya walipelekwa puta wakaongeza nguvu toka Songea na sumbawanga still walipelekwa mchakamchaka ikabidi wamuombe Sugu awatulize baada ya mabomu kuisha.Unawatafutia balaa Wamachinga,Yaani polisi wanne wafe? Unataka Machinga wahame kabisa mjini warudi kijijini kulima?
Wakamuheshimu Sugu wakatulia, uliona wapi nguvu ikaleta amani,busara za Sugu ndizo zilizoleta amani Mbeya.
Tusiwachokoze machinga tuendelee tu kuomba moshi wa mwenge uendelee kutulevya.