Ngoja nisiwaite jina ambalo sio lao (Hawa wafanyabiashara kiholela), hawauliwi leo kwa kuwahamamisha na kuwataka kufanya kazi sehemu amabazo sio hatarishi kwao na kwa jamii husika...
Wamekuwa wakiuliwa polepole kwa kukosekana alternatives, Wamekuwa wakiuliwa polepole kwa kukosa suluhisho kwa watunga sera kuchukua shortcut na kuwatupia mzigo wale watakaokuja baadae...
Kwahio tupo katika Crossroads tuendelee kulea kidonda huku kinazidi kuoza ili kesho tukate mguu, au tutumbue usaha na kutibu kidonda leo ili huenda kesho tuokoe mguu wetu ...
As kuacha business as usual na kuendelea kuwazalisha wachuuzi will come a time ambapo we can never go back as it used to be (itakuwa too late)
Have you ever thought hawa wachuuzi wakiugua siku moja kesho yao itakuwaje ? Je uzeeni hawana hata pension watakuwa wageni wa nani ? (Kwa Fikra hizo ndio Utetezi sio kuwaacha wakifanya kazi kwenye Mitalo, sijui Kipindupindi kikija au wakigongwa lawama iende kwa nani)