ohh!! mungu wangu, hii ni habari mbaya, ngoja nipige simu home nione kama wako salama
RIP, poleni wafiwa.
Mimi ningeshauri organisations kama hii ya Legal Human Rights wangesaidia familia za waliopoteza maisha kufungua keshi dhidi ya @)mmiliki/wamiliki wa magari hayo ya mankotena, and b) Idara husika na utoaji wa vibali pamoja na wanausalama. Nasema hivi kwa sababu mara nyingi tumeona makontena haya yanakiuka taratibu za usalama. Sasa unless wakubwa hawa wawajibishwe tutazikana kila leo.
Again, RIP na Poleni wafiwa.