Poleni sana waheshimiwa wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano! Hivyo mpaka leo bado kuna watu wanaita wabunge wa chadema???, shame on u!
Kwani mpaka kufariki ndio waona itakuwa haina baraka ? kama hivyo mali imeharibika , na wao wameumia yaonyesha kabisa hakuna baraka hapo
Sasa kama nipo Sikonge, nirude Bongo ipi tena Bandugu?
Au SIKONGE imekuwa masikini sana hadi mnaona haipo Bongo?
Ndiyo maana viongozi wengi Tanzania wanaipishia mbali. Ila sasa ntafanye na huku ndiyo kwetu?
Hahahaaaa, jamaa anatishia NYAU siyo? Nikifika Dar ntamtafuta na ntamletea na Panga kabisa ili AKATE TAMAA....
Mwenzio January Makamba kapigwa marufuku kwenda USA. Wee chezea na tishia watu tu ambao hata huwafahamu.
MODS: Natangaza hapa moja kwa moja kuwa Gamba Jipya kanitolea VITISHO. Nataka kujua hatua gani naweza kumchukulia kwani hata nikivunja Mguu nikiwa Dar (Bongo), huyu jamaa lazima akamatwe na ahojiwe. Ntaomba muitunze IP yake ili iwe rahisi kumdaka mara muda ukiwadia.
Hakuna lolote hapo, imekosa baraka za Mungu
kuna watu humu wangekuwa nchi makini wangekuwa wanalipa fidia kila siku na umasikini ungewakumba, vitisho sio dili kabisa hata kama ni mzaa
ila hiyo ya mbunge wa bumbuli, imekaa je data tafadhari
...Inawezekana Pdidy aliamua kusema kahama akiamini ndio sehemu inayofahamika na wengi kuliko hilo jina la kijiji....Poleni wote mliojeruhiwa...Chanzo cha ajali ni nini?Siyo kahama mkuu ni kijiji kimoja kinaitwa Imenya km 7 kutoka Tinde to kahama,wawili walikufa pale pale na wengine wamejeruhiwa vibaya sana.nipo Tinde nitaendelea kuwajuza
Siyo kahama mkuu ni kijiji kimoja kinaitwa Imenya km 7 kutoka Tinde to kahama,wawili walikufa pale pale na wengine wamejeruhiwa vibaya sana.nipo Tinde nitaendelea kuwajuza