Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Hiki kipindi cha pili cha mh. Jk ajali zimeongezeka sana
Ajali imetokea leo huko mkoa wa pwani, basi la Deluxe likitokea dodoma, gari limepata burst mpira wa mbele na kupinduka kisha kuwaka moto, abiria more than 30 wamegeuka majivu! Dah inasikitisha sana!
 
Back
Top Bottom