Mfuko wa fidia kwa wahanga wa ajali Afrika Kusini wazidiwa na wadai fidia. Je, Tanzania huwa wanatoa fidia kwa wafiwa/majeruhi wa ajali za barabarani?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,054
49,742
Afrika Kusini Kuna mfuko maalumu wa Fidia Kwa Wahanga wa Ajali ambapo uliyrngewa Dola 2.5bln lakini kabla ya mwaka huu Kuna Madai yanayofikia Dola Bil.30 kutokana na kukithiri Kwa Ajali.

Hoja yangu kuu ni kwamba ,Kwa hapa Tanzania hivi Kuna Wananchi ambao hufidiwa wakipatwa na Ajali? Maana Huwa nasikia Kuna bila lakini sijawahi ona Serikali ikitoa Elimu Kwa Wananchi wake jinsi ya kupata Haki Yao in case wamejeruhiwa au kufariki kwenye Ajali.

Mwenye kufahamu tunaomba Elimu Ili tuwe aware na mambo haya maana Ajali Kwa Tanzania ni kama donda ndugu.
Screenshot_20231026-064707_1.jpg
 
Back
Top Bottom