Kikundi cha muziki wa injili kutoka RWANDA chris ambasadors wamepata ajali njiapanda ya tinde na kahama na watatu kufariki dunia huku wawili wakiwa mahututi waimbaji hao walikuwa wakitoka dar kurekodi albamu yao na leo hii serikali ya Rwanda ilituma ndege kuja kuwachukua majeruhi na maiti ziliondoka leo miongoni mwa waliofariki yupo mtanzania aliyekuwa mkalimani wao CHRIST AMBASADOR wanatamba na albamu zao mbili zenye nyimbo kama DONT SAY TOMMORROW,Fuata nyayo na hapo zamani BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE amen!