Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Poleni sana wafiwa.............

Karibu watu Millioni 1 hufa kila mwaka kutokana na ajali za magari barabarani............na karibu watu milioni 50 kila mwaka hujeruhiwa na wengine kupata vilema vya maisha.............

Suala la Road Safety ni pana sana...........na sisi Watanzania tunalifanyia MZAHA sana......kuanzia Elimu (Driving Schools, Driving Instructors, Drivers and Road Users), Engineering (i.e. Design) na Enforcement (Traffic Police Division, Road Traffic Department/Authority)..........sina hakika kama Viongozi wetu wanajua thamani ya Mtanzania mmoja........pengine hatuna thamani ndio maana si shida sana kwa viongozi wetu wakisikia watu wamekufa kutokana n ajali............mbali ya kuwa binadamu ni resource........pia ni tegemeo la familia husika.......... tunapopoteza resource hii...tunaathiri mambo mengi sana ya kimaendeleo...........

Inasikitisha sana sana.........Wataalamu tunao....lakini hatuwatumii...........
 
yote haya ni sababu ya poor infrastructure na planning ya matumizi ya barabara... given a chance ningeamuru malori yote yawe yanaingi na kutoka dar kuanzia saa nne usiku hadi kumi alfajiri, kwisha!!! foleni zitapungua, kero zitapungua na risks zitapungua japo kwa dar tu!!!
 
Taarifa zilizodhibitishwa ni kuwa bus hilo limepinduka katika wilaya ya geita likitokea bukoba kwenda mwanza.

taarifa za kutokea vifo zipo na majeruhi vipo ingawa hakuna idadi iliyodhibtishwa bado

nitaendelea kuwajuza
 
nimepata taarifa za ajali kati ya basi la bunda na sheratoni huko Geita wana jf mnayoyo taarifa yoyote?
 
Mimi sijapata habari yoyote labda kwa mwenye taarifa zaidi
 
Wametangaza na kupitia ITV ila hakuna picha zilizopatikana kuthibitisha zaidi ya mwandishi kuripoti akiwa kwenye tukio.anasema majeruhi wameumia sana.wait for more update
 
Nimeshuhudia maiti 10 ingawa ni zaidi,watu wameumia sana na wengi wana hali mbaya,reckless driving inacost life za watu
 
Mola awanusuru na kuwaponya wote waliofikwa na hiyo ajali,
 
MUNGU AZILAZE PEMA PEPONI ROHO ZA MAREHEMU WOTE! hivyo tu ndicho ninachoweza kusema kwa hawa marehemu ndugu zetu
 
Nimesoma kwa wanabidii, Fredrick Katulanda akithibitisha kuwa imeishathibitishwa na Kamanda Polisi mkoa, Watu 15 wamefariki dunia!

RIP waliopoteza maisha!
Poleni wafiwa!
Get well soon majeruhi!.
 
inasikitisha sana du! moja wa mashuhuda wanasema basi iliovateki kwanye mwinuko.
Ushauri wangu kwa serikali siyo kupitia leseni upya ila kuwe na utaratibu wa kupima madereva pombe, bangi na madawa ya kulevya kabla ya kuanza safari. Hilo linawezekana na litapunguza ajali
 
Rip to all who died na pole kwa wafiwa....hawa madereva watatumaliza kwa kweli.inabidi waadhibiwe vikali maybe watajirekebisha
 
Ni lini ajali hizi zitaisha? Utatuzi wake ni nini? Naona kimekuwa kitendawili kilichokosa majibu. MUNGU azilaze roho za marehemu mahali pema. Walojeruhiwa awajalie kupona haraka
 
Back
Top Bottom