Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,652
- 13,077
Kila mtu na imani yake
Nalog off
Nalog off
Umesomeka mkuuWajuzi watuambie hili la mchanga lina maana gani😥😥😥😥😥
View attachment 1720437
Aendelee kulala salama Maalim Seif Sharif Hamad
===
Katika hali ya kustaaajabisha inadaiwa kumeibuka watu ambao wanachukua mchanga katika kaburi la Hayati Maalim Seif. Baadhi ya wakazi wameeleza imani tofauti katika mchanga huo wakidai unanukia harufu ya Miski.
Katika kufafanua zaidi tukio hilo, RC wa Kaskazini Pemba Bi Salama Mbarouk Khatibu amewaonya watu wanaochukua mchanga huo. Katika hili amesema Watu wanachukua mchanga waendelee kuzuiwa kwa sababu hatujui wanapochukua mchanga huo wanaenda kuufanyia nini.
Naye, RPC wa Kaskazini Pemba Juma Sadi Khamis ameonya kwamba watu wanaokuja kufanya dua wanaruhusiwa isipokuwa hawatakiwi kuchukua mchanga huo. Amesisitiza kuwa mtu akifanya hivyo itakuwa ni kosa.
Aliishi maisha ya utimilifu mno kwa viwango vya kibinadamu, akazalisha roho chanya iliyomfanya apendwe na watu wake wengi... Hii imemjengea nishati chanya ambayo ndio hiyo watu wanapagawa nayo "hallucinations"Wajuzi watuambie hili la mchanga lina maana gani
View attachment 1720437
Aendelee kulala salama Maalim Seif Sharif Hamad
===
Katika hali ya kustaaajabisha inadaiwa kumeibuka watu ambao wanachukua mchanga katika kaburi la Hayati Maalim Seif. Baadhi ya wakazi wameeleza imani tofauti katika mchanga huo wakidai unanukia harufu ya Miski.
Katika kufafanua zaidi tukio hilo, RC wa Kaskazini Pemba Bi Salama Mbarouk Khatibu amewaonya watu wanaochukua mchanga huo. Katika hili amesema Watu wanachukua mchanga waendelee kuzuiwa kwa sababu hatujui wanapochukua mchanga huo wanaenda kuufanyia nini.
Naye, RPC wa Kaskazini Pemba Juma Sadi Khamis ameonya kwamba watu wanaokuja kufanya dua wanaruhusiwa isipokuwa hawatakiwi kuchukua mchanga huo. Amesisitiza kuwa mtu akifanya hivyo itakuwa ni kosa.
mmawia kaonekana pande hizo na kindoo!
😂😂😂 Wapemba akili zao wana zijua wenye!
Naunga mkono!Aliishi maisha ya utimilifu mno kwa viwango vya kibinadamu, akazalisha roho chanya iliyomfanya apendwe na watu wake wengi... Hii imemjengea nishati chanya ambayo ndio hiyo watu wanapagawa nayo "hallucinations"
Aliishi maisha ya utimilifu mno kwa viwango vya kibinadamu, akazalisha roho chanya iliyomfanya apendwe na watu wake wengi... Hii imemjengea nishati chanya ambayo ndio hiyo watu wanapagawa nayo "hallucinations"