Mkuu wa Mkoa azuia wananchi kuchukua mchanga kwenye kaburi la Maalim Seif, asema wataumaliza na kuacha shimo

Wajuzi watuambie hili la mchanga lina maana gani😥😥😥😥😥

View attachment 1720437

Aendelee kulala salama Maalim Seif Sharif Hamad
===

Katika hali ya kustaaajabisha inadaiwa kumeibuka watu ambao wanachukua mchanga katika kaburi la Hayati Maalim Seif. Baadhi ya wakazi wameeleza imani tofauti katika mchanga huo wakidai unanukia harufu ya Miski.

Katika kufafanua zaidi tukio hilo, RC wa Kaskazini Pemba Bi Salama Mbarouk Khatibu amewaonya watu wanaochukua mchanga huo. Katika hili amesema Watu wanachukua mchanga waendelee kuzuiwa kwa sababu hatujui wanapochukua mchanga huo wanaenda kuufanyia nini.

Naye, RPC wa Kaskazini Pemba Juma Sadi Khamis ameonya kwamba watu wanaokuja kufanya dua wanaruhusiwa isipokuwa hawatakiwi kuchukua mchanga huo. Amesisitiza kuwa mtu akifanya hivyo itakuwa ni kosa.
Umesomeka mkuu
 
Wajuzi watuambie hili la mchanga lina maana gani

Aliishi maisha ya utimilifu mno kwa viwango vya kibinadamu, akazalisha roho chanya iliyomfanya apendwe na watu wake wengi... Hii imemjengea nishati chanya ambayo ndio hiyo watu wanapagawa nayo "hallucinations"
 
Acp juma saidi ana sema sio jambo zuri sana 😂
Mzee ana sema wakati mwingine nina kuwa nkali time ingine 😂 juwa apo kuna kipindi ana wambia msichukuwee mwingi wee choloo wa tosha uwoo
 
KIFAFANUACHO KIFO MBELE YA MUNGU, SI CHEO KIKUBWA WALA DARAJA, ILA MATENDO MEMA SAA YA KUFA KWAKO
HAPA WE MSAFIRI SIMAMA NA TAZAMA
 
Mtu anapozikwa huwa kimvuli chake(mazabaila) kinabaki pale juu ya kaburi.

Kwahiyo watu wenye utaalamu wao huchukua mchanga kwa ajili ya kufanyia Mambo fulani fulani.

Mambo ya kusafisha au kuchafua nyota huwa yanaanzaga na michakato kama hiyo.

Kwakuwa ni mtu maarufu .....

🏃
 
Back
Top Bottom