Mkuu wa Mkoa azuia wananchi kuchukua mchanga kwenye kaburi la Maalim Seif, asema wataumaliza na kuacha shimo

Watu na imani zao mdau.

Hapa ndio utagundua huyu jamaa alikua kipenzi haswa wa watu wa Zanzibari.

Huwa najiuliza tu yule Ggadafi Osama wangezikwa sehemu zinazojulikana hali ingekuaje.
Wamarekani wajanja sana. Makaburi ya watata hao wawili hayajulikani yalipo. Huenda hata Hitler alizikwa lakini wakaficha kaburi lake.
 
Unashangaa nini wakati wewe ndio huwa unakesha kwa Wachawi
Halafu usiku wa jana tulikesha wote huko ila wewe ukaamua uendelee kubaki, vipi unajitengeneza kuwa mkuu wa wachawi!? Au wewe ndio afsa mauzo wao?
 
Halafu usiku wa jana tulikesha wote huko ila wewe ukaamua uendelee kubaki, vipi unajitengeneza kuwa mkuu wa wachawi!? Au wewe ndio afsa mauzo wao?
Afsaa mauno wao ni wewe na afsaa mauzo wao ni Polepole
 
Wawe wanauza kijiko kimoja laki ... Ukipungua wanaongeza watu sio wabunifu.
 
Wanabodi, nashauri, kinachotokea kwenye kaburi la aliyekuwa mgombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad lilindwe kuepuka aibu tuendako.

Kutokana na watu kuzuru kaburi la Maalim na kuondoka na udongo kwenye kaburi lake linaweza kuharibu hadhi ya heshima aliyopewa na. wananchi wa Zanzibar. Nashauri kaburi hili lilindwe ili kuondoa Imani kwamba kwa kugusa udongo uliomzika Maalim unaweza kuponya. Tustaarabike.
 
Imani zingine kzi kweli kweli
Nani sijui kawadanganya huo udongo
Unaweza wasaidia kwenye kufanya mambo
Yao

Ova
 
Mwafrica na uchawi/ ushirikina ni Pete na kidole , hili ni Bara la umizimu .... No achievement at all ..... Wazungu endeleeeni kubarkiwa
 
Back
Top Bottom