Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

jipange tena kisha rudi.Kwa nini picha nyingine zinaonesha uhalisia?

Tuntemeke ndio wakujipanga,mnatia huruma sana,kuwa watumwa,kutwa kushinda jf kuandika ujinga,sijui amna familia?
 
Hivi nyie wote mliohudhuria hamkuwa na kamera,si muweke picha kum support aliyeweka hizi??!!!
Mkutano wote kamera ni hiyo tu iliyoleta hizi??!!!!

Hebu kuweni wanaume bana ngonjera za nini hapa tangu jana! !!!

Swali zuri. Tuntemeke hataki kujibu hili. Hajui kuwa ile tarehe inategemea kama imekuwa set correctly or not. Ndiyo maana hata hiyo saa haiendani na muda wa mikutano unless mkutano ulifanyikia wakati wa summer Alaska.
 
vinginvyo save on ur IPad or IPhone then go to photos app check it on years.... 23 nov 2011...

Hizi akili za kupambana na ukweli ulio wazi!

attachment.php

Hee hiki chama sasa majanga, wanaiba mpaka picha
Uwiiiiiiii
Yelewiiii
Buriani,RIP.
 
Sasa hiyo si ndio nzuri kwenu ? kwamba sisi tunahit wrong target wakati nyie mnapatia target ? Wewe badala ya kunyamaza unatutonya tena !

Nyie ng'ang'anieni kwenye mitandao wakati Kinana anafika mpaka kwa barozi wa nyumba kumi anakunywa nao uji na mihogo. wanaongalia mitandao hawafiki hata % 00000000.1 Mnajidanganya.


 
ukoo wa panya unashida kweli,kutwa kusema uwongo,mara minazi,mara tarehe haya na huo muda??wakati mwingine tumia muda kidogo kuchambua mambo
 

Huu ndiyo mkutano wa Dkt. Slaa leo Kahama mjini ambao umeanza majira ya saa 12.15 jioni ambapo watu wamekuwepo uwanjani tangu saa 8 mchana kama walivyotangaziwa.


attachment.php



attachment.php

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilibrod Slaa akiwahutubia wanachi wa mji wa Kamaha na vitongoji vyake, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kukagua na kuimarisja uhai wa chama katika mikoa ya Shinyanga, Kigoma, Tabora na Singida, uliofanyika kwenye Uwanja wa CDT mjini Kahama jana. (Picha na Joseph Senga)

attachment.php

Katibu Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (chadema), Dk. Willibrod Slaa akiagana na wananchi wa mji wa Kahama baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa CDT mjini huo jana, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama katika mikoa ya Shinyanga, Tabora, Kigoma na Singida. (Picha na Joseph Senga)


TUNTEMEKE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!> Peoplessssss!!!!!!!!!! POWER!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!>>>>>>>>>>>>>>2015>>>>
 
Tatizo la huo ushahidi wake ni mmoja....Kama anataka tuchukulie tarehe iliyochukuliwa picha kama inavyoonyesha na kamera ni sahihi, then kwa namna hiyo hiyo inabidi muda nao uwe sahihi, sababu vyote vinatoka kwenye kamera hiyo hiyo.....Najua hilo halikubaliki kwani kwa namna yeyote hizo picha hazikupigwa saa saba usiku ! Kwa hiyo tukubaliane kwamba muda katika kamera hiyo haukurekebishwa. Na kama unalikubali hilo kwa nini usikubali tarehe nayo haikurekebishwa ?

Mkuu Safari_ni_Safari njoo hapa ujionee mambo ya mwaka 2011! Teknolojia huwa haingopi
Tumaini Makene TUNTEMEKE anatoa ushahidi kwamba hizi picha ni za mwaka 2011 kwa maana hiyo umewaongopea watanzania, unasemaje?
 
Inaonyesha Tuntemeke ulitaka kufoji lakini ukajisahau kidogo hukuwa makini kwenye time, uliconcentrate na tarehe na mwezi tu wa uongo ulipozitoa hizo detail za picha na kutaka kutuaminisha ni za mkutano wa jana.
Kaa kidogo basi tutakuletea details original za picha zilizobandikwa za mkutano wa jana, na sio hizo zako.
Acha kutumiwa Mzee Mzima!
 
Umenena kweli Eliza, I have been in those areas, saa moja usiku utadhani ni saa kumi na mbili au kumi na moja, bado kunakuwa na mwanga kabisa, sasa hawa kenge na vibaraka wa CCM sijui wanamatatizogani huko.Hivi CDM inawahusu nini lakini???Tuwaache na upuuzi wao

Hawa ni makenge tu wanang'ang'ani tarehe wanasahau muda
Wanajijambiajambia tu
 
Mbona kuna picha inaonyesha anapunga mkono upande tofauti na wanaompungia?
 
omarilyas n mwekundu
===>Pamoja na ushabiki lakini kuna wakati lazima akili itumike japo kidogo tu,hii sio picha ya saa saba mchana,ni picha ambayo imechukuliwa muda wa jioni sana.kwa hiyo kuna tatizo la muda wa camera iliochukua picha hizo.

Hilo linawezekana lakini pia hawa jamaa zangu ni wa uchakachuaji kama huu wakishirikiana na nipashe na itV
 
Back
Top Bottom