Uongo hauwezi kushindana na ukweli, buku7 walianza kuona Minazi, tukawaeleza kuwa hiyo sio Minazi ila ni Mihama. Wakachukua 3D na kuona kuwa Dr.Slaa anaaga lakini watu bado wanasikiliza, tukawasogezea picha karibu ili waone vizuri kuwa wakati Dr.Slaa anawaaga hata baadhi ya wananchi walikuwa wanapunga mikono ya kuagana. Wakaja. na viprogram vyao oh oh sie ni watu wa IT hii picha ni ya mwaka 2011, watu wakawapa Shule kuwa mbona mkutano ulifanyika usiku? Wakabaki wadogo kama piriton. Cha ajabu wameshindwa kuleta walau picha za mabango waliokuwa wanatuaminisha..Lol CCM kama waenezi wenu ndio haya basi 2015 bye bye.