Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

UFAFANUZI:

Wana JF tusiwe wepesi kudanganywa na huyu Masalia, napenda nitoe ufafanuzi kuhusu tarehe kama ifuatavyo:

1. Wote tunafahamu kwamba Digital Cameras zina setting ya Tarehe, ukweli ni kwamba kamera aina ya Nikon D7000 iliyotumika kupiga picha hizi ilikuwa na wrong date, kitu ambacho ni cha kawaida kwa most of cameras, unless iwe ipo charged muda wote ili isipoteze kumbu kumbu ya tarehe, pili ni kwamba hiyo tarehe inayoonekana ya 23 November 2011 Dr Slaa hakuwahi kufanya mkutano wowote wa hadhara tarehe hiyo, lakini kubwa zaidi, kama TUNTEMEKE unajaribu kuwashawishi watu waamini kwamba picha hizi ni Fake, basi weka hizo ambazo sio Fake ili watu waone huo ukweli unaong'ang'ania.

2. Kuhusu kutumia program ya Photoshop, hili ni jambo la kawaida sana, wengi wetu huwa tunatumia Photoshop kupunguza dimension ya picha kabla hujai upload kwa sababu picha yenyewe kutoka kwenye camera inakuwa ni kubwa kiasi cha 3.8MB lakini ukipunguza resolution inapungua ukubwa hadi kufikia several kb's.

Narudia tena, weka hizo picha ambazo wewe unaona ni ukweli ili watu wakuamini, usiifanye JF ionekane kuwa kijiwe cha uongo na propaganda za magamba.

jipange tena kisha rudi.Kwa nini picha nyingine zinaonesha uhalisia?
 
UFAFANUZI:

Wana JF tusiwe wepesi kudanganywa na huyu Masalia, napenda nitoe ufafanuzi kuhusu tarehe kama ifuatavyo:

1. Wote tunafahamu kwamba Digital Cameras zina setting ya Tarehe, ukweli ni kwamba kamera aina ya Nikon D7000 iliyotumika kupiga picha hizi ilikuwa na wrong date, kitu ambacho ni cha kawaida kwa most of cameras, unless iwe ipo charged muda wote ili isipoteze kumbu kumbu ya tarehe, pili ni kwamba hiyo tarehe inayoonekana ya 23 November 2011 tena ajabu zaidi inaonesha saa 7 usiku (Kuna mkutano unaofanyika saa 7 usiku?).

Tarehe tajwa hapo juu Dr Slaa hakuwahi kufanya mkutano wowote wa hadhara, lakini kubwa zaidi, kama TUNTEMEKE unajaribu kuwashawishi watu waamini kwamba picha hizi ni Fake, basi weka hizo ambazo sio Fake ili watu waone huo ukweli unaong'ang'ania.

2. Kuhusu kutumia program ya Photoshop, hili ni jambo la kawaida sana, wengi wetu huwa tunatumia Photoshop kupunguza dimension ya picha kabla hujai upload kwa sababu picha yenyewe kutoka kwenye camera inakuwa ni kubwa kiasi cha 3.8MB lakini ukipunguza resolution inapungua ukubwa hadi kufikia several kb's.

Narudia tena, weka hizo picha ambazo wewe unaona ni ukweli ili watu wakuamini, usiifanye JF ionekane kuwa kijiwe cha uongo na propaganda za magamba.

attachment.php
 
attachment.php

MODS NAOMBA SANA MUANIKE UKWELI HUU,JF INAAMINIKA KUWA NI CHANZO SASAHIHI CHA HABARI,MKUTANO WA DR.SLAA WAJANA PICHA WALIZOWEKA NI UONGO.
ANGALIZO MUHIMU SANA KUHUSU PICHA ZA CHADEMA,

Hawa jamaa wa CHADEMA wameweka picha fake. Just download those pics, save them, and go to PROPERTIES. Utaona kwamba zile picha ni za tarehe 23 Nov mwaka 2011. Inaonekana pia wamejaribu kuedit kwa kutumia PHOTOSHOP ila wameshindwa. Itakuonyesha pale. Bahati nzuri sana kwenye JPG FORMAT ya picha unaweza kuedit vyoooooooote isipokuwa tu tarehe na saa ambapo picha ilipigwa!!
Jamiiforum inawatu wa IT naomba mliangalie hilio,Mkutano wa Slaa haukuwa hivi jana,ni Ulaghai kwa watu

Narudia tena Save Picha hiyo hapo juu kwenye COMPUTER yako then Right Click upate Option ya kuangalia Properties,Nenda kwenye DETAILS Utapata Muda wa PICHA ILIPOCHUKILIWA(TAREHE 23 MWAKA 2011 MWEZI 11) Itakuletea aina ya Camera iliyochukua (NIKON model D7000)

Wewe Njegele kweli, hiyo ni wrong setting ya date na time, angalia kwenye muda hapo inaonyesha 1.02am, Napo unataka tukuelewe kuwa Dr. Slaa alifanya huo mkutano saa saba usiku??? au hujapaona? Utaumbuka we mburula,, weka zako basi tuone.
 
Kweli mkuu Tuntemeke! Hawa jamaa wahuni kweli wanachezea akili za watanzania. Hizo nipicha za 23.11.2011.

Nyie wahafidhina kwa nini mnahadaa watanzania???

Mnadhani kwa uongo huo itawasaidia kitu gani nyie pamoja na Mtei and relatives company????

Weee ndio ziro kabisa,tuntemeke atawakamata wengi kweli wajinga wajinga humu ndani.
 
Umeamua kujitengenezea hiyo window baada ya kuona mbinu zote za kudhoofisha ziara ya Dr Slaa zimeshindikana!
Mtakodisha sana bajaji huko mbeya hadi zimtoe mtu utumbo ndo mtakoma SENZI KABISA!

Acheni ubwege na wendawasimu. Fanya yafuatayo, save picha hizo kwenye computer kisha cheki properties zake utajua ni picha zilizopigwa lini!

Kama mkutano umedoda, umedoda tu. Haikusaidii chochote na wala haitasaidia cdm kwa kudanganya watanzania.

Mikutano yote itadoda hivohivo. Labda aende hukohuko uchagani. Na kama akikosea akatia miguu jimboni kwa Zitto nakwambia ataonge kiha huku akitafuna dagaa wabichi-mteke!
 
Umenena kweli Eliza, I have been in those areas, saa moja usiku utadhani ni saa kumi na mbili au kumi na moja, bado kunakuwa na mwanga kabisa, sasa hawa kenge na vibaraka wa CCM sijui wanamatatizogani huko.Hivi CDM inawahusu nini lakini???Tuwaache na upuuzi wao
Achen ujinga aisee....mnaenda hadi hatua ya kuphotoshop
 
attachment.php

MODS NAOMBA SANA MUANIKE UKWELI HUU,JF INAAMINIKA KUWA NI CHANZO SASAHIHI CHA HABARI,MKUTANO WA DR.SLAA WAJANA PICHA WALIZOWEKA NI UONGO.
ANGALIZO MUHIMU SANA KUHUSU PICHA ZA CHADEMA,

Hawa jamaa wa CHADEMA wameweka picha fake. Just download those pics, save them, and go to PROPERTIES. Utaona kwamba zile picha ni za tarehe 23 Nov mwaka 2011. Inaonekana pia wamejaribu kuedit kwa kutumia PHOTOSHOP ila wameshindwa. Itakuonyesha pale. Bahati nzuri sana kwenye JPG FORMAT ya picha unaweza kuedit vyoooooooote isipokuwa tu tarehe na saa ambapo picha ilipigwa!!
Jamiiforum inawatu wa IT naomba mliangalie hilio,Mkutano wa Slaa haukuwa hivi jana,ni Ulaghai kwa watu

Narudia tena Save Picha hiyo hapo juu kwenye COMPUTER yako then Right Click upate Option ya kuangalia Properties,Nenda kwenye DETAILS Utapata Muda wa PICHA ILIPOCHUKILIWA(TAREHE 23 MWAKA 2011 MWEZI 11) Itakuletea aina ya Camera iliyochukua (NIKON model D7000)

Kama wewe TUNTEMEKE ni mwanaume basi mimi natilia shaka kuhusu UANAUME wako, ''NAHISI UNA WALAKINI''.
 
Naona akina Mwigulu na Team Zitto wanajaribu kuhalalisha "matumizi" ya fedha walizopewa kuibooa CHADEMA.

Wameshindwa na wataendelea kushindwa maadui wote wa CHADEMA na Tanzania.
 
Acheni ubwege na wendawasimu. Fanya yafuatayo, save picha hizo kwenye computer kisha cheki properties zake utajua ni picha zilizopigwa lini!

Kama mkutano umedoda, umedoda tu. Haikusaidii chochote na wala haitasaidia cdm kwa kudanganya watanzania.

Mikutano yote itadoda hivohivo. Labda aende hukohuko uchagani. Na kama akikosea akatia miguu jimboni kwa Zitto nakwambia ataonge kiha huku akitafuna dagaa wabichi-mteke!

Wewe ndo uache ubwege, angalia kwenye muda hapo inaonyesha ni saa saba na dakika mbili usiku, Ina maana Dr. Slaa alifanya mkutano saa saba usiku?
 
attachment.php

MODS NAOMBA SANA MUANIKE UKWELI HUU,JF INAAMINIKA KUWA NI CHANZO SASAHIHI CHA HABARI,MKUTANO WA DR.SLAA WAJANA PICHA WALIZOWEKA NI UONGO.
ANGALIZO MUHIMU SANA KUHUSU PICHA ZA CHADEMA,

Hawa jamaa wa CHADEMA wameweka picha fake. Just download those pics, save them, and go to PROPERTIES. Utaona kwamba zile picha ni za tarehe 23 Nov mwaka 2011. Inaonekana pia wamejaribu kuedit kwa kutumia PHOTOSHOP ila wameshindwa. Itakuonyesha pale. Bahati nzuri sana kwenye JPG FORMAT ya picha unaweza kuedit vyoooooooote isipokuwa tu tarehe na saa ambapo picha ilipigwa!!
Jamiiforum inawatu wa IT naomba mliangalie hilio,Mkutano wa Slaa haukuwa hivi jana,ni Ulaghai kwa watu

Narudia tena Save Picha hiyo hapo juu kwenye COMPUTER yako then Right Click upate Option ya kuangalia Properties,Nenda kwenye DETAILS Utapata Muda wa PICHA ILIPOCHUKILIWA(TAREHE 23 MWAKA 2011 MWEZI 11) Itakuletea aina ya Camera iliyochukua (NIKON model D7000)

Mkuu jipange tena,alafu uje!!!
 
mKUU ni saa saba za USIKU...(1.02AM)
Hawa watu wanataka kusema CDM walikuwa wanawanga muda huo nini?
Ukitaka kudanganya watu wengi unahitaji uwe na akili angalau ya common sense tu!..Ukiwa zuzu au mburulaz kama TUNTEMEKE unaadhirika sana!

common sense is not common! Ndo yuko kazini, la sivyo atajiuza barabarani
 
Last edited by a moderator:
attachment.php

MODS NAOMBA SANA MUANIKE UKWELI HUU,JF INAAMINIKA KUWA NI CHANZO SASAHIHI CHA HABARI,MKUTANO WA DR.SLAA WAJANA PICHA WALIZOWEKA NI UONGO.
ANGALIZO MUHIMU SANA KUHUSU PICHA ZA CHADEMA,

Hawa jamaa wa CHADEMA wameweka picha fake. Just download those pics, save them, and go to PROPERTIES. Utaona kwamba zile picha ni za tarehe 23 Nov mwaka 2011. Inaonekana pia wamejaribu kuedit kwa kutumia PHOTOSHOP ila wameshindwa. Itakuonyesha pale. Bahati nzuri sana kwenye JPG FORMAT ya picha unaweza kuedit vyoooooooote isipokuwa tu tarehe na saa ambapo picha ilipigwa!!
Jamiiforum inawatu wa IT naomba mliangalie hilio,Mkutano wa Slaa haukuwa hivi jana,ni Ulaghai kwa watu

Narudia tena Save Picha hiyo hapo juu kwenye COMPUTER yako then Right Click upate Option ya kuangalia Properties,Nenda kwenye DETAILS Utapata Muda wa PICHA ILIPOCHUKILIWA(TAREHE 23 MWAKA 2011 MWEZI 11) Itakuletea aina ya Camera iliyochukua (NIKON model D7000)

Kwenye maelezo yako umetaja siku/tarehe, mwezi na mwaka wa hiyo picha kupigwa, sawa ndugu mi sina tatizo na ndugu Tuntemeke maana naona uko kidigital zaidi mkuu, ila tatizo langu ni muda wa hiyo picha kupigwa, mimi niliishia std 4c sasa ni meshindwa kuelewa kwa mujibu wa bandiko lako kuwa Dr. Slaa alikuwa anawahutubia watu saa 7 usiku? Picha inaonyesha kupigwa saa 7 usiku tarehe, mwezi na mwaka uliutaja, sasa je kuna sheria hapa TZ inaruhusu CDM kufanya mikutano usiku?
Uchawi ni ushetani na ni dhambi, ni vyema kumtetea mchawi ukitumia nguvu nyingi kwa vile tu ni rafiki yako? CCM siyo baba yako wala mama yako, huyu ni rafiki tu, usitumie nguvu nyingi kumtetea kisa unampenda rafiki huyu ambaye yeye kwa desturi hana rafiki wala adui wa kudumu.
Kitambue mkuu, thamani yako ni zaidi ya hichi unachokifanya hapa jukwaani.
 
Acheni ubwege na wendawasimu. Fanya yafuatayo, save picha hizo kwenye computer kisha cheki properties zake utajua ni picha zilizopigwa lini!

Kama mkutano umedoda, umedoda tu. Haikusaidii chochote na wala haitasaidia cdm kwa kudanganya watanzania.

Mikutano yote itadoda hivohivo. Labda aende hukohuko uchagani. Na kama akikosea akatia miguu jimboni kwa Zitto nakwambia ataonge kiha huku akitafuna dagaa wabichi-mteke!

Weka Picha zako hapa,Acha kutokwa Povu.. Kama mkutano ulidoda Magazeti yenu si yangeweka hiyo habari kwa Front page!?
 
Kweli mkuu Tuntemeke! Hawa jamaa wahuni kweli wanachezea akili za watanzania. Hizo nipicha za 23.11.2011.

Nyie wahafidhina kwa nini mnahadaa watanzania???

Mnadhani kwa uongo huo itawasaidia kitu gani nyie pamoja na Mtei and relatives company????
umesahau kusema pia hiyo picha ni ya sa saba usiku kama inavyoonyesha hapo, sasa kwa nn msiweke picha zenu mnabaki mnaweweseka tu, mkutano wa chadema ulifanyika sa saba ya usiku?
 
attachment.php

MODS NAOMBA SANA MUANIKE UKWELI HUU,JF INAAMINIKA KUWA NI CHANZO SASAHIHI CHA HABARI,MKUTANO WA DR.SLAA WAJANA PICHA WALIZOWEKA NI UONGO.
ANGALIZO MUHIMU SANA KUHUSU PICHA ZA CHADEMA,

Hawa jamaa wa CHADEMA wameweka picha fake. Just download those pics, save them, and go to PROPERTIES. Utaona kwamba zile picha ni za tarehe 23 Nov mwaka 2011. Inaonekana pia wamejaribu kuedit kwa kutumia PHOTOSHOP ila wameshindwa. Itakuonyesha pale. Bahati nzuri sana kwenye JPG FORMAT ya picha unaweza kuedit vyoooooooote isipokuwa tu tarehe na saa ambapo picha ilipigwa!!
Jamiiforum inawatu wa IT naomba mliangalie hilio,Mkutano wa Slaa haukuwa hivi jana,ni Ulaghai kwa watu

Narudia tena Save Picha hiyo hapo juu kwenye COMPUTER yako then Right Click upate Option ya kuangalia Properties,Nenda kwenye DETAILS Utapata Muda wa PICHA ILIPOCHUKILIWA(TAREHE 23 MWAKA 2011 MWEZI 11) Itakuletea aina ya Camera iliyochukua (NIKON model D7000)

Kwa hiyo unaamini Tarehe 23 November 2011 ndio sahihi?

Amini basi hata muda ilipigwa saa saba za usiku ndio nitakuelewa!!
 
UFAFANUZI:

Wana JF tusiwe wepesi kudanganywa na huyu Masalia, napenda nitoe ufafanuzi kuhusu tarehe kama ifuatavyo:

1. Wote tunafahamu kwamba Digital Cameras zina setting ya Tarehe, ukweli ni kwamba kamera aina ya Nikon D7000 iliyotumika kupiga picha hizi ilikuwa na wrong date, kitu ambacho ni cha kawaida kwa most of cameras, unless iwe ipo charged muda wote ili isipoteze kumbu kumbu ya tarehe, pili ni kwamba hiyo tarehe inayoonekana ya 23 November 2011 Dr Slaa hakuwahi kufanya mkutano wowote wa hadhara tarehe hiyo, lakini kubwa zaidi, kama TUNTEMEKE unajaribu kuwashawishi watu waamini kwamba picha hizi ni Fake, basi weka hizo ambazo sio Fake ili watu waone huo ukweli unaong'ang'ania.

2. Kuhusu kutumia program ya Photoshop, hili ni jambo la kawaida sana, wengi wetu huwa tunatumia Photoshop kupunguza dimension ya picha kabla hujai upload kwa sababu picha yenyewe kutoka kwenye camera inakuwa ni kubwa kiasi cha 3.8MB lakini ukipunguza resolution inapungua ukubwa hadi kufikia several kb's.

Narudia tena, weka hizo picha ambazo wewe unaona ni ukweli ili watu wakuamini, usiifanye JF ionekane kuwa kijiwe cha uongo na propaganda za magamba.

Ufafanuzi mzuri: Kwa kuongezea tu hiyo picha inaonyesha imepigwa 1:02 AM ambayo ni saa saba na dakika mbili usiku. Sasa hata taahira atagundua Tar na saa ya camera haiko sahihi...otherwise huyo mpuuzi TUNTEMEKE atuambie kwamba huo mkutano ulifanyika saa saba usiku..which is madness.
 
Back
Top Bottom