Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

WATU WA CCM WAACHE WiVU KWA LUGHA ZAO ZA KUPOTOSHA UMMA NA WATAKAPOKUJA NA PROPAGANDA ZAO ZA UONGO WAPUUZWE,CDM ISONGE MBELE
 
Haya sasa magamba njooni mpinge tena. Mnasema picha ya zamani? Hii ni leo leo picha na Joseph Senga

Mnahangaika sana ili ionekane CDM kuna bonge la mgawanyiko. Imekula kwenu

ZZK ataharisha damu na usaliti wake, hii nchi ina watu wengi bwana, who is ZZK?
 
Well done...good move dr slaa....dah vijana wa buku 7 wanaleta upotoshaji ila chadema na dr slaa bado ni tishio kubwa la magamba....😛eace:
 
Kama pamoja na propaganda chafu zote za chama tawala kwa kusaidiamda na magazeti yao na redio na tv, bado wameshindwa kuwashawishi Watanzania, basi tambua kwamba mageuzi makubwa yanaisubiri nchi hii muda si mrefu.

Big up cdm.
Nakala: Simiyu Yetu
 
Last edited by a moderator:
Ingekuwa ni magamba wangesomba watu kwa malori.
 
Saa12:15 jioni mkutano?how? mwisho sii saa 12.Zitto akaongeze makundi ccm maana kuna la membe,lowasa,migiro na sita
 
kwa msaada wasioelewa anachosema mtanzania

save picha kwenye computer yako kisha upload sehemu husika kupitia link hiii hapa chini.

utapata taarifa za lini picha hizi zimepigwa.

chadema mlianza vizuri ila huu upuuzi mnaoendelea nao mnatukatisha tamaa watanzania tulioanza kupata matumaini ya CCM kupat areal challenger.E

Einstein said you can not solve problems using same level of thinking that created them. Chadema hapa mnakosea.Tunafahamu hamna capacity in terms of wahamsiashaji na waendeshaji,ila si jambo zuri mkaruhusu wapuuzi wawafanyie mambo yenu.

EXIF Data Viewer

vinginvyo save on ur IPad or IPhone then go to photos app check it on years.... 23 nov 2011...

Hizi akili za kupambana na ukweli ulio wazi!

attachment.php
 
Attachments

  • fake-slaa-kahama.jpg
    fake-slaa-kahama.jpg
    50.6 KB · Views: 3,072
Kama pamoja na propaganda chafu zote za chama tawala kwa kusaidiamda na magazeti yao na redio na tv, bado wameshindwa kuwashawishi Watanzania, basi tambua kwamba mageuzi makubwa yanaisubiri nchi hii muda si mrefu.

Big up cdm.
Nakala: Simiyu Yetu

chadema tukiendelea hivi tunaendelea kwa mwendo huu basi 2015 ni magogoni.
.
 
Last edited by a moderator:
Haya sasa magamba njooni mpinge tena. Mnasema picha ya zamani? Hii ni leo leo picha na Joseph Senga

Mnahangaika sana ili ionekane CDM kuna bonge la mgawanyiko. Imekula kwenu
naona wamejitahidi kuedit picha tatu tu,ndo kusema silaa hatembei na wapiga picha wake siku hizi?
 
AIBUUUUUUUUUUU YA MWAKA DR.SLAA,MKUTANO WA KAHAMA WABUMA AAMUA KUFOJI PICHA HII HAPA CHINI ILI KUDANGANYA WATANZANIA.
KWISHA HABARI YAKO CHADEMAAAAAAAAAAA,YAANI TUMAINI MAKENEN ANATUMIA PICHA ZA MWAKA 20133 TARE 23 MWEZI 11
WATANZANIAAAA AIBUUU KWA CHADEMA,FUATA MAELEKEZO HAYA HAPA KUGUNDUA NAMNA SLAA ALIVYOCHUJAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

ANGALIZO MUHIMU SANA KUHUSU PICHA ZA CHADEMA,

Hawa jamaa wa CHADEMA wameweka picha fake. Just download those pics, save them, and go to PROPERTIES. Utaona kwamba zile picha ni za tarehe 23 Nov mwaka 2011. Inaonekana pia wamejaribu kuedit kwa kutumia PHOTOSHOP ila wameshindwa. Itakuonyesha pale. Bahati nzuri sana kwenye JPG FORMAT ya picha unaweza kuedit vyoooooooote isipokuwa tu tarehe na saa ambapo picha ilipigwa!!
Jamiiforum inawatu wa IT naomba mliangalie hilio,Mkutano wa Slaa haukuwa hivi jana,ni Ulaghai kwa watu

Narudia tena Save Picha hiyo hapo juu kwenye COMPUTER yako then Right Click upate Option ya kuangalia Properties,Nenda kwenye DETAILS Utapata Muda wa PICHA ILIPOCHUKILIWA(TAREHE 23 MWAKA 2011 MWEZI 11) Itakuletea aina ya Camera iliyochukua (NIKON model D7000)
 
Back
Top Bottom