PakavuNateleza
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 1,106
- 1,297
Bwana Gamba mbona tangu jana mnapiga propaganda tuuu? Wekeni picha zenu mnazodai dr alihutubia watu 20,AIBUUUUUUUUUUU YA MWAKA DR.SLAA,MKUTANO WA KAHAMA WABUMA AAMUA KUFOJI PICHA HII HAPA CHINI ILI KUDANGANYA WATANZANIA.
KWISHA HABARI YAKO CHADEMAAAAAAAAAAA,YAANI TUMAINI MAKENEN ANATUMIA PICHA ZA MWAKA 20133 TARE 23 MWEZI 11
WATANZANIAAAA AIBUUU KWA CHADEMA,FUATA MAELEKEZO HAYA HAPA KUGUNDUA NAMNA SLAA ALIVYOCHUJAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
ANGALIZO MUHIMU SANA KUHUSU PICHA ZA CHADEMA,
Hawa jamaa wa CHADEMA wameweka picha fake. Just download those pics, save them, and go to PROPERTIES. Utaona kwamba zile picha ni za tarehe 23 Nov mwaka 2011. Inaonekana pia wamejaribu kuedit kwa kutumia PHOTOSHOP ila wameshindwa. Itakuonyesha pale. Bahati nzuri sana kwenye JPG FORMAT ya picha unaweza kuedit vyoooooooote isipokuwa tu tarehe na saa ambapo picha ilipigwa!!
Jamiiforum inawatu wa IT naomba mliangalie hilio,Mkutano wa Slaa haukuwa hivi jana,ni Ulaghai kwa watu
Narudia tena Save Picha hiyo hapo juu kwenye COMPUTER yako then Right Click upate Option ya kuangalia Properties,Nenda kwenye DETAILS Utapata Muda wa PICHA ILIPOCHUKILIWA(TAREHE 23 MWAKA 2011 MWEZI 11) Itakuletea aina ya Camera iliyochukua (NIKON model D7000)