Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

Watz wa leo wameshajitambua
Zitto alifikiri Dr wa ukweli asingeweza kuhutubia
Kuhutubia amehutubia na muda kaongeza peopleeeeeeee powerrrrrrrrrrrrrr
 
dr slaa ndiyo tegemeo pekee la watanzania lililobaki , vijana wengi wana PRICE TAG mgongoni !
 
Maumivu ni makali sana kwa kundi la Magamba na vibaraka wake. Nakumbuka zamani mtoto akifukuzwa shule anatamani shule yote ipotee ili apate la kujisifia. Ila hayo huwa hayatokei. Hakuna maarufu kuliko taasisi. Somo hilo.
 
watu wamepotosha ukweli na kuweka picha za mikutano ya zamani. kikuu mimi nilikuwepo mkutanoni na hakukuwa na watu kama ilivyozoeleka. tuache uongo makene.
 
Maomivu ni makali sana kwa kundi la Magamba na vibaraka wake. Nakumbuka zamani mtoto akifukuzwa shule anatamani shule yote ipotee ili apate la kujisifia. Ila hayo huwa hayatokei. Hakuna maarafu kuliko taasisi. Somo hilo.

Maneno adhimu sana hayo na hasa "mkuu zaidi ya Taasisi" na "somo Hilo" ila si wote wanweza kung'amua hilo isipokuwa wenye hekima pekee, exclude ZZK, Sunflower producer na wenzao
 
Wee chambulilo, mbona kwako Ifakara kuna diwani CCM alihutubia mkutano wa kampeni Udiwani hadi saa moja kasorobo, CDM walienda kulalamika, lakini CCM haikuchukuliwa hatua yeyote hadi leo. Unaangalia kwa kutumia pua?
 
watu wamepotosha ukweli na kuweka picha za mikutano ya zamani. kikuu mimi nilikuwepo mkutanoni na hakukuwa na watu kama ilivyozoeleka. tuache uongo makene.
Kajifunze kwanza kuandika.Halafu uweke picha zako za ukweli.
 
Mheshimiwa Kurugenzi wa Habari hii picha si ya ukweli na MODs naomba muwemnahakiki hizi picha otherwise intergrity yenu itakuwa questionable. Kwanza naomba nimuulize mheshimiwa Kurugenzi wa Habari ni wapi Kahama kuna minazi maana sijawahi kuiona nikiwa kahama. Naomba ufafanuzi.

Pili hili ghorofa la orange hapo ni kama vile temeke but I could be wrong ila nilishawahi kuliona maeneo hayo au Yombo ila naomba uniambie hilo ghorofa liko mitaa gani kahama nitapita kupatafuta nina safari ya kwenda huko ila silikumbuki kuwepo kahama mjini.

Tuanzie na hayo kwanza halafu nitakuja na mengine baadae......


Hapo kwenye Red hiyo sio minazi ni miti aina ya Mipama (kama wenyeji wanavyohita) Sijui jinsi ya kuattach picha ningekutumia picha ya Kahama ikiwa na miti hiyo. (ni picha ambayo hausiani na Mkutano)

Swala la ghorofa kama liko Temeke haimaanishi kuwa aliwezi kuwa Kahama... Ukweli ni kuwa hapo ni Kahama...
 
Nilijua hayo ya fix yatakuwepo tu mbele ya kukana ukweli
 
sasa mnalalamika nini, si mlisema kuwa mkutano umejaa polisi na mabango ya zitto, sasa nn tena,? labda polisi wameacha ili slaa apate aibu ya watu wachache kama mlivyotaka kutuaminisha, imewauma ennheeee team zitto
 
Usigeuze macho ukajidai huoni kiu ya Watanzania wanaohitaji somo la urahia ili wajitambue,hujachelewa nawe pia unakaribishwa njoo uvue gamba lako linalokulemea kiasi cha kutoona ni jinsi gani tunaendelea kuwa masikini wakati tuna rasilimali za kila aina,watoto wetu wanahuzuria shule wengi wao kwenda kukua badala ya kwenda kuongeza maarifa,haki za wanyonge zinaporwa mchana kweupe hakuna wakuwatetea kwani waliokasimiwa madaraka wamejigeuza kuwa MIUNGU watu,njoo hima njoo hujachelewa..........
 
aiseeeee babayangu tunamwomba dr aje na huku mkuu rombo sisi tunakijua chadema na si zitto tunaipenda chadema na ilami yake

nawasilisha
 
watu wamepotosha ukweli na kuweka picha za mikutano ya zamani. kikuu mimi nilikuwepo mkutanoni na hakukuwa na watu kama ilivyozoeleka. tuache uongo makene.

Wenzio angalau wameweka picha.. wewe tukuamini vipi!?
 
Back
Top Bottom