Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

Umeamua kujitengenezea hiyo window baada ya kuona mbinu zote za kudhoofisha ziara ya Dr Slaa zimeshindikana!
Mtakodisha sana bajaji huko mbeya hadi zimtoe mtu utumbo ndo mtakoma SENZI KABISA!
 
vinginvyo save on ur IPad or IPhone then go to photos app check it on years.... 23 nov 2011...

Hizi akili za kupambana na ukweli ulio wazi!

attachment.php

Date and Time (Original)

2011:11:23 01:02:37
Date and Time (Digitized)
2011:11:23 01:02:37+03:00
omarilyas n mwekundu
===>Pamoja na ushabiki lakini kuna wakati lazima akili itumike japo kidogo tu,hii sio picha ya saa saba mchana,ni picha ambayo imechukuliwa muda wa jioni sana.kwa hiyo kuna tatizo la muda wa camera iliochukua picha hizo.
 
Last edited by a moderator:
Picha zinaonekana zimepigwa saa 6 usiku je ni kweli na ndivyo unavyotaka kutuaminisha? hiyo camera inaonekana haikuwa imerekebishwa na utakuwa unatokwa povu bure maskini gamba!

tarehe wewe wala huangalii?camera ambayo ni professional usirekebishe muda na tarehe?
 
Program name: ADOBE PHOTOSHOP!

HIVI UKIIANGALIA HIYO PICHA KWELI IMEPIGWA SAA SABA MCHANA? COME ON!


attachment.php

mKUU ni saa saba za USIKU...(1.02AM)
Hawa watu wanataka kusema CDM walikuwa wanawanga muda huo nini?
Ukitaka kudanganya watu wengi unahitaji uwe na akili angalau ya common sense tu!..Ukiwa zuzu au mburulaz kama TUNTEMEKE unaadhirika sana!
 
Last edited by a moderator:
acha ubwege na compyuta ulizozijua jana unaongea upuuzi klwa watu wanaojua vitu
 
mkuu TUNTEMEKE kwanini usituwekee picha za huo mkutano ulivyokuwa huko kahama?
kama wewe mwenyewe huna ushahidi wa picha huna haja ya kutoka mapovu meenngi
 
Last edited by a moderator:
Ok Ok tufanye basi kuwa ni kweli, does it add any value to your CCM crew? Stupidity at its best
 
View attachment 124907

Baadhi ya maelezo ya picha ya muda yanaonyesha kuwa :

===>Ukiangalia muda ambao picha imepigwa na uhalisia wa picha haviendani kabisa,muda unaoonyeshwa kuwa picha imepigwa inaonyesha ni saa sita na dakika arobaini na tano usiku (00:45) je picha hii itakuwa imepigwa muda huo kweli?
===>Kwa hiyo hapa kifupi inawezekana camera iliyotumika ikawa hairekebishwa muda (time setting),wahusika Kurugenzi ya Habari wanaweza wakaja na majibu ya kutosheleza kuhusiana na hili lakini inawezekana kabisa picha hizi zikawa ni za tukio husika na tarehe husika kama walivyotuma watoa mada (uzi).

Hapo umenena mkuu.
 
attachment.php


MODS NAOMBA SANA MUANIKE UKWELI HUU,JF INAAMINIKA KUWA NI CHANZO SASAHIHI CHA HABARI,MKUTANO WA DR.SLAA WAJANA PICHA WALIZOWEKA NI UONGO.
ANGALIZO MUHIMU SANA KUHUSU PICHA ZA CHADEMA,

Hawa jamaa wa CHADEMA wameweka picha fake. Just download those pics, save them, and go to PROPERTIES. Utaona kwamba zile picha ni za tarehe 23 Nov mwaka 2011. Inaonekana pia wamejaribu kuedit kwa kutumia PHOTOSHOP ila wameshindwa. Itakuonyesha pale. Bahati nzuri sana kwenye JPG FORMAT ya picha unaweza kuedit vyoooooooote isipokuwa tu tarehe na saa ambapo picha ilipigwa!!
Jamiiforum inawatu wa IT naomba mliangalie hilio,Mkutano wa Slaa haukuwa hivi jana,ni Ulaghai kwa watu

Narudia tena Save Picha hiyo hapo juu kwenye COMPUTER yako then Right Click upate Option ya kuangalia Properties,Nenda kwenye DETAILS Utapata Muda wa PICHA ILIPOCHUKILIWA(TAREHE 23 MWAKA 2011 MWEZI 11) Itakuletea aina ya Camera iliyochukua (NIKON model D7000)

Kweli mkuu Tuntemeke! Hawa jamaa wahuni kweli wanachezea akili za watanzania. Hizo nipicha za 23.11.2011.

Nyie wahafidhina kwa nini mnahadaa watanzania???

Mnadhani kwa uongo huo itawasaidia kitu gani nyie pamoja na Mtei and relatives company????
 
Unaweza ukawa na kitu kinakukereketa kuhusu CHADEMA lakini ukasahau baadhi ya mambo muhimu yakuuelezea huo ukweli/uongo wako. Kuhusu muda hiyo picha ilipopigwa ni saa 1.02am. Kwa kiswahili hii ni saa saba na dakika mbili za usiku. Nimejaribu kuiangalia hiyo picha na haifanani na kupigwa mda ulioko hapo juu. Kikawaida si saa zote unaweza kuwa umeiset kamera yako kwa tarehe na saa halisi. Nakushauri uiache CHADEMA na mambo yake na wewe ubaki na ccm na mambo yenu.
 
attachment.php


MODS NAOMBA SANA MUANIKE UKWELI HUU,JF INAAMINIKA KUWA NI CHANZO SASAHIHI CHA HABARI,MKUTANO WA DR.SLAA WAJANA PICHA WALIZOWEKA NI UONGO.
ANGALIZO MUHIMU SANA KUHUSU PICHA ZA CHADEMA,

Hawa jamaa wa CHADEMA wameweka picha fake. Just download those pics, save them, and go to PROPERTIES. Utaona kwamba zile picha ni za tarehe 23 Nov mwaka 2011. Inaonekana pia wamejaribu kuedit kwa kutumia PHOTOSHOP ila wameshindwa. Itakuonyesha pale. Bahati nzuri sana kwenye JPG FORMAT ya picha unaweza kuedit vyoooooooote isipokuwa tu tarehe na saa ambapo picha ilipigwa!!
Jamiiforum inawatu wa IT naomba mliangalie hilio,Mkutano wa Slaa haukuwa hivi jana,ni Ulaghai kwa watu

Narudia tena Save Picha hiyo hapo juu kwenye COMPUTER yako then Right Click upate Option ya kuangalia Properties,Nenda kwenye DETAILS Utapata Muda wa PICHA ILIPOCHUKILIWA(TAREHE 23 MWAKA 2011 MWEZI 11) Itakuletea aina ya Camera iliyochukua (NIKON model D7000)

Muda uliochukuliwa ni saa saba na dakika mbili usiku unasemaje kuhusu hilo au nawe ni mwongo,umebugi men mwongoo mkubwa wewe
 
Huyu tuntemeke ni kichaa kama vichaa wengine wa kawaida kabisa. Hicho anachokisema mbona hakipo? Mie niko Kahama na jana nimeudhulia mkutano huo hizi picha ni za kweli na ni za mkutano wa jana ambao mimi binafsi niliuudhulia. Mods ebu toeni upuuzi wa huyu mpuuzi hapa.

Hivi nyie wote mliohudhuria hamkuwa na kamera,si muweke picha kum support aliyeweka hizi??!!!
Mkutano wote kamera ni hiyo tu iliyoleta hizi??!!!!

Hebu kuweni wanaume bana ngonjera za nini hapa tangu jana! !!!
 
Najua CCM wengi hawakutegema kwamba watu wengi wangekuja kwenye mkutano....nadhani camera iliyochukua hizo picha ilikuwa na wrong dates !

Picha zilizowekwa na 'Kurugenzi ya Habari'' ya CHADEMA zilipigwa mwaka 2011 tarehe 23 Nov. Just download those pics and look at the properties. Inaonyesha pia wamejaribu kuedit kwa kutumia photoshop, ila wameshindwa kuedit tarehe.

Hii ni AIBU kubwa. Sikutegemea kwamba itafika siku CHADEMA yetu ifanye yaleyale waliyokuwa wanafanya CCM mwaka 2010. I am interested kuona picha halisi za kilichotokea Kahama
 
attachment.php


mods naomba sana muanike ukweli huu,jf inaaminika kuwa ni chanzo sasahihi cha habari,mkutano wa dr.slaa wajana picha walizoweka ni uongo.
Angalizo muhimu sana kuhusu picha za chadema,

hawa jamaa wa chadema wameweka picha fake. Just download those pics, save them, and go to properties. Utaona kwamba zile picha ni za tarehe 23 nov mwaka 2011. Inaonekana pia wamejaribu kuedit kwa kutumia photoshop ila wameshindwa. Itakuonyesha pale. Bahati nzuri sana kwenye jpg format ya picha unaweza kuedit vyoooooooote isipokuwa tu tarehe na saa ambapo picha ilipigwa!!
jamiiforum inawatu wa it naomba mliangalie hilio,mkutano wa slaa haukuwa hivi jana,ni ulaghai kwa watu

narudia tena save picha hiyo hapo juu kwenye computer yako then right click upate option ya kuangalia properties,nenda kwenye details utapata muda wa picha ilipochukiliwa(tarehe 23 mwaka 2011 mwezi 11) itakuletea aina ya camera iliyochukua (nikon model d7000)


kwa taarifa yako tu 1:02 am ni saa saba na dakika mbili za usiku.

So hiyo picha imepigwa usiku wa manane.

Kajifunze adobe vizuri zaidi

bwa ha ha h ah ah ah aha ha
 
Back
Top Bottom