Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
Mzee slaa kweli kazeeka hiyo picha mnaiona wakuu halafu mkutanomgani unaanza saa kumi na mbili huu ni uongo.
Hakuna mkutano wa saa kumi na mbili huu ni upotoshaji wa hali ya juu.
Dkt. Slaa baada ya kuhutubia kwa takriban dakika 30, akiwaaga wananchi waliokuwa na shauku ya kumsikiliza wakiwa wamemsubiri zaidi ya masaa 4.
Pamoja na kuwa na kiu ya kuendelea kumsikiliza, wakipaza sauti 'endelea endeleea, endelea' wananchi walisikiliza kauli ya Dkt. Slaa pale alipowaambia kuwa anapaswa kuwahi kikao cha ndani hivyo akawaahidi kuwa atapanga mkutano mwingine ili kufidia masaa 'yaliyopotea' leo, ikiwa ni ishara ya heshima yake kwa wananchi hao kumsbiri uwanjani kwa muda mrefu kiasi hicho.
Mzee slaa kweli kazeeka hiyo picha mnaiona wakuu halafu mkutanomgani unaanza saa kumi na mbili huu ni uongo.
Hakuna mkutano wa saa kumi na mbili huu ni upotoshaji wa hali ya juu.
Kurungezi ya Habari au kurugenzi ya uongo mmeamua kutengeneza picha Slaa anahutubia, teh teh teh.
Huu ndiyo mkutano wa Dkt. Slaa leo Kahama mjini ambao umeanza majira ya saa 12.15 jioni ambapo watu wamekuwepo uwanjani tangu saa 8 mchana kama walivyotangaziwa.
View attachment 124850
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilibrod Slaa akiwahutubia wanachi wa mji wa Kamaha na vitongoji vyake, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kukagua na kuimarisja uhai wa chama katika mikoa ya Shinyanga, Kigoma, Tabora na Singida, uliofanyika kwenye Uwanja wa CDT mjini Kahama jana. (Picha na Joseph Senga)
View attachment 124852
Katibu Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (chadema), Dk. Willibrod Slaa akiagana na wananchi wa mji wa Kahama baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa CDT mjini huo jana, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama katika mikoa ya Shinyanga, Tabora, Kigoma na Singida. (Picha na Joseph Senga)
Chadema mnatumia nguvu nyingi sana kupambana na Zitto lakini mmeishachelewa.