tuletee picha za ukwli mkuu, buku 7000 ipoKwanini sasa cdm wanahangaika na picha za uongo?
tuletee picha za ukwli mkuu, buku 7000 ipoKwanini sasa cdm wanahangaika na picha za uongo?
Mimi nipo huku kahama, hakuna picha kama hizi,watu walikuwa bize na waliofika wameleta zomea zomea hadi polisi wamekiokoa kibabu! Acheni kuleta picha feki, weka video!
huyo muheshiwa mwambie alete za kwake zisizokuwa na watuMh tarehe kama ilivyo kwa muda inawezekana vyote havikurekebishwa. So hapa hamna hoja ni jambo rahisi kwa wewe kuedit picha zako na zikaweza kidhi matwakwa yako ili tukuamini.
Mnarudia makosa yaleyale ya mkakati au waraka mm wa kuchafua wengine ilikupata madaraka, mmeshindwa na shame on you!
Wee gamba, cheki tarehe ya computer yako isije ikawa imepoteza majira halafu wewe unaleta uharo hapa!Kwenye properties picha zinaonekana zilipigwa tarehe 23 November 2011...
AIBUUUUUUUUUUU YA MWAKA DR.SLAA,MKUTANO WA KAHAMA WABUMA AAMUA KUFOJI PICHA HII HAPA CHINI ILI KUDANGANYA WATANZANIA.
KWISHA HABARI YAKO CHADEMAAAAAAAAAAA,YAANI TUMAINI MAKENEN ANATUMIA PICHA ZA MWAKA 20133 TARE 23 MWEZI 11
WATANZANIAAAA AIBUUU KWA CHADEMA,FUATA MAELEKEZO HAYA HAPA KUGUNDUA NAMNA SLAA ALIVYOCHUJAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
ANGALIZO MUHIMU SANA KUHUSU PICHA ZA CHADEMA,
Hawa jamaa wa CHADEMA wameweka picha fake. Just download those pics, save them, and go to PROPERTIES. Utaona kwamba zile picha ni za tarehe 23 Nov mwaka 2011. Inaonekana pia wamejaribu kuedit kwa kutumia PHOTOSHOP ila wameshindwa. Itakuonyesha pale. Bahati nzuri sana kwenye JPG FORMAT ya picha unaweza kuedit vyoooooooote isipokuwa tu tarehe na saa ambapo picha ilipigwa!!
Jamiiforum inawatu wa IT naomba mliangalie hilio,Mkutano wa Slaa haukuwa hivi jana,ni Ulaghai kwa watu
Narudia tena Save Picha hiyo hapo juu kwenye COMPUTER yako then Right Click upate Option ya kuangalia Properties,Nenda kwenye DETAILS Utapata Muda wa PICHA ILIPOCHUKILIWA(TAREHE 23 MWAKA 2011 MWEZI 11) Itakuletea aina ya Camera iliyochukua (NIKON model D7000)
Kwanini sasa cdm wanahangaika na picha za uongo?
![]()
MODS NAOMBA SANA MUANIKE UKWELI HUU,JF INAAMINIKA KUWA NI CHANZO SASAHIHI CHA HABARI,MKUTANO WA DR.SLAA WAJANA PICHA WALIZOWEKA NI UONGO.
ANGALIZO MUHIMU SANA KUHUSU PICHA ZA CHADEMA,
Hawa jamaa wa CHADEMA wameweka picha fake. Just download those pics, save them, and go to PROPERTIES. Utaona kwamba zile picha ni za tarehe 23 Nov mwaka 2011. Inaonekana pia wamejaribu kuedit kwa kutumia PHOTOSHOP ila wameshindwa. Itakuonyesha pale. Bahati nzuri sana kwenye JPG FORMAT ya picha unaweza kuedit vyoooooooote isipokuwa tu tarehe na saa ambapo picha ilipigwa!!
Jamiiforum inawatu wa IT naomba mliangalie hilio,Mkutano wa Slaa haukuwa hivi jana,ni Ulaghai kwa watu
Narudia tena Save Picha hiyo hapo juu kwenye COMPUTER yako then Right Click upate Option ya kuangalia Properties,Nenda kwenye DETAILS Utapata Muda wa PICHA ILIPOCHUKILIWA(TAREHE 23 MWAKA 2011 MWEZI 11) Itakuletea aina ya Camera iliyochukua (NIKON model D7000)
Swala la Muda kuwa ni saa 1:02 am hilo si sababu kwakuwa Mwenye CAMERA yawezekana hakurekebisha muda,lakini Ukweli utabaki pale pale kuwa picha nizauongo,Ikumbukwe kuwa hata ww kwenye simu yako usiposeti Muda na ukaangalia kwenye Misscal au Dial call zako utakuta muda wa uongo.Hivyo swala la Muda ni mwenye CAMERA hakurekebisha
...Dr Slaa anajenga Chama si jina lake.
Watanzania wanamuamini si kwa kuaminishwa bali hata kwa kumuangalia tu unaona kabisa dhamira yake safi.
unajua umbali wakutoka shy town mpaka kahama? Tumia kichwa wewe... Ni mbali sanaa. Ukweli ndio huo ngoja na mwandiga watajaa kama leo.
Shy town to Kahama kuna umbali gani wakati nauli ni Buku mbili?
Body without head
Inasikitisha sana. Sasa kwa nini wadanganye??? Nimethibitisha kama hizi picha ni za uongo kupitia simu yangu ya mkononi.. Huu sasa ni unafiki mbaya zaidi
wanafiki tunawajua ata kwakuwaangalia kwa maneno yao hawa jamaa ni wanafiki sana kaka ata mwenezi wao nchemba ukimwangalia machoni ni mnafiki sana yule pamoja na mropokaji wao.
Acha wehu wewe.....hata mimi kma sijawezeshaa time stamp na kuona picture ikiwa na time ya nyuma huwa sikumbuki seti time.
Camera na Simu zirecet huwa zinarudi date ilipotengenezwa.NA watu huwa hawakumbuki sana set time ya camera km hawataki activate time stamp ili picture iwe na time printed on the picture.
km una nokia ya bei rahisi..ito ebetri halafu rudisha, halafu ktk camera reset everything halafu angalia time yake.Watu wasiojua tumia camera huamua reset.
Hiyo photoshop umeweka wewe ktk computer yangu siioni, na hata kama picture igekuwa edited na photoshop ktk si format ya photoshop si rahishi ona hilo.
Ndugu hizi picha siyo za 2013 kweli ni za 2011... Nimetumia simu yangu kujionea mwenyewe hayo... Kurugenzi ya habari mnabidi mlitolee ufafanuzi hili.