Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

Hicho unachoonyesha ni sahihi....ila kitu kimoja hukizungumzii nacho ni kwamba hiyo inategemea tarehe iliyosetiwa kwenye hiyo kamera. Kama tarehe au muda ni wrong ndio itakayoonekana hapo !

Na kama unataka tuchukulie tarehe iliyochukuliwa picha kama inavyoonyesha na kamera ni sahihi, then kwa namna hiyo hiyo inabidi muda nao uwe sahihi, sababu vyote vinatoka kwenye kamera hiyo hiyo.....Najua hilo halikubaliki kwani kwa namna yeyote hizo picha hazikupigwa saa saba usiku ! Kwa hiyo tukubaliane kwamba muda katika kamera hiyo haukurekebishwa. Na kama unalikubali hilo kwa nini usikubali tarehe nayo haikurekebishwa ?

vinginvyo save on ur IPad or IPhone then go to photos app check it on years.... 23 nov 2011...

Hizi akili za kupambana na ukweli ulio wazi!

attachment.php
 
Kama unataka tuchukulie tarehe iliyochukuliwa picha kama inavyoonyesha na kamera ni sahihi, then kwa namna hiyo hiyo inabidi muda nao uwe sahihi, sababu vyote vinatoka kwenye kamera hiyo hiyo.....Najua hilo halikubaliki kwani kwa namna yeyote hizo picha hazikupigwa saa saba usiku ! Kwa hiyo tukubaliane kwamba muda katika kamera hiyo haukurekebishwa. Na kama unalikubali hilo, unalazimika kukubali kwamba tarehe nayo haikurekebishwa.

AIBUUUUUUUUUUU YA MWAKA DR.SLAA,MKUTANO WA KAHAMA WABUMA AAMUA KUFOJI PICHA HII HAPA CHINI ILI KUDANGANYA WATANZANIA.
KWISHA HABARI YAKO CHADEMAAAAAAAAAAA,YAANI TUMAINI MAKENEN ANATUMIA PICHA ZA MWAKA 20133 TARE 23 MWEZI 11
WATANZANIAAAA AIBUUU KWA CHADEMA,FUATA MAELEKEZO HAYA HAPA KUGUNDUA NAMNA SLAA ALIVYOCHUJAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

ANGALIZO MUHIMU SANA KUHUSU PICHA ZA CHADEMA,

Hawa jamaa wa CHADEMA wameweka picha fake. Just download those pics, save them, and go to PROPERTIES. Utaona kwamba zile picha ni za tarehe 23 Nov mwaka 2011. Inaonekana pia wamejaribu kuedit kwa kutumia PHOTOSHOP ila wameshindwa. Itakuonyesha pale. Bahati nzuri sana kwenye JPG FORMAT ya picha unaweza kuedit vyoooooooote isipokuwa tu tarehe na saa ambapo picha ilipigwa!!
Jamiiforum inawatu wa IT naomba mliangalie hilio,Mkutano wa Slaa haukuwa hivi jana,ni Ulaghai kwa watu

Narudia tena Save Picha hiyo hapo juu kwenye COMPUTER yako then Right Click upate Option ya kuangalia Properties,Nenda kwenye DETAILS Utapata Muda wa PICHA ILIPOCHUKILIWA(TAREHE 23 MWAKA 2011 MWEZI 11) Itakuletea aina ya Camera iliyochukua (NIKON model D7000)
 
Hilo linawezekana lakini pia hawa jamaa zangu ni wa uchakachuaji kama huu wakishirikiana na nipashe na itV
Du WTZ ni wajinga sisi. Kwa nini tunapoteza muda kujadili jambo hili wakati kila kitu kinaonekana limechukua sura ya kisiasa zaidi na lilipangwa? Kungekuwa na two sets of photographs na tukawa tunajadili ni set ipi fake na ipi sio fake, huo ndio mjadala wenye afya. Anayesema picha ni fake alikuwako kwenye mkutano. Naamini yeye ndio kachukua hizo picha kwa kamera yake ambayo alirekebisha tarehe kuweka tarehe fake, but because CDM ina mungu akasahau kurekebisha time...ooops! na kuzipost hapa JF, then akaanza na anapiga propaganda. Wtz open your eyes, dont spend your time kwenye hii post. My recollection, hii movie iliandaliwa. JF you have to stop this nonsense
 
Hii ni kashfa kurugenzi ya habari kwa hili hapana CDM mmekosea na haileti afya kwa chama,

Tukubaliane kuwa maamuzi ya kamati kuu yasingeweza kuwafuraisha wote lakini ni maamuzi halali any impact posituve au negative ndiyo mahali pa kujifunza na kukijenga chama cha watu wanafuata misingi na si waty individuls.
 
AIBUUUUUUUUUUU YA MWAKA DR.SLAA,MKUTANO WA KAHAMA WABUMA AAMUA KUFOJI PICHA HII HAPA CHINI ILI KUDANGANYA WATANZANIA.
KWISHA HABARI YAKO CHADEMAAAAAAAAAAA,YAANI TUMAINI MAKENEN ANATUMIA PICHA ZA MWAKA 20133 TARE 23 MWEZI 11
WATANZANIAAAA AIBUUU KWA CHADEMA,FUATA MAELEKEZO HAYA HAPA KUGUNDUA NAMNA SLAA ALIVYOCHUJAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

ANGALIZO MUHIMU SANA KUHUSU PICHA ZA CHADEMA,

Hawa jamaa wa CHADEMA wameweka picha fake. Just download those pics, save them, and go to PROPERTIES. Utaona kwamba zile picha ni za tarehe 23 Nov mwaka 2011. Inaonekana pia wamejaribu kuedit kwa kutumia PHOTOSHOP ila wameshindwa. Itakuonyesha pale. Bahati nzuri sana kwenye JPG FORMAT ya picha unaweza kuedit vyoooooooote isipokuwa tu tarehe na saa ambapo picha ilipigwa!!
Jamiiforum inawatu wa IT naomba mliangalie hilio,Mkutano wa Slaa haukuwa hivi jana,ni Ulaghai kwa watu

Narudia tena Save Picha hiyo hapo juu kwenye COMPUTER yako then Right Click upate Option ya kuangalia Properties,Nenda kwenye DETAILS Utapata Muda wa PICHA ILIPOCHUKILIWA(TAREHE 23 MWAKA 2011 MWEZI 11) Itakuletea aina ya Camera iliyochukua (NIKON model D7000)

eti Mwaka 20133

njaa mbaya sana jamani
 
Kuna post nimeona inashuku Kahama hakuna minazi - Nimekaa Kahama sana na ninatembelea mara kwa mara - minazi ipo mmoja mmoja iliyopandwa majumbani kama inavyoonekana pichani, lakini sio mingi kama pwani!
 
noma sana.

23 Nov ilikuwa siku ya Jumatano.kama ilivyokuwa jana . So labda mpinga picha angefanya uchunguzi na kutuambia huo mkutano ulikuwa wapi na Slaa alikuwa wapi oeke yake bila jopo la wabunge wa cdm
 
Nini kimechelewesha mkutano kuanza huoni ni kama kuwapotezea wananchi muda wa kuzalisha na kukuza uchumi

Katibu Mwenezi, mkutano ulichelewa kwasababu magari yaliyokuwa kwenye msafala yalihalibika kutokana na kutumia mafuta ayaliyochakachuliwa...
 
Wadau,
Hii picha ina utata mkubwa sana na kuna haja ya baadhi ya mambo kuwekwa sawa.

1. Inawezekana kabisa tarehe na muda kwenye settings za hiyo camera haviko sawa.
2. Inawezekana hizo settings ziliwekwa kwa kutumia time zone tofauti na TZ kwahiyo kunaweza kuwa na utofauti kwenye masaa.

Ili kuondoa huo utata moja kwa moja, aliyepiga hizo picha atupigie picha nyingine inaweza kuwa inayoonyesha ukurasa wa mbele wa gazeti lolote la leo. Hiyo ndio itatoa ushahidi wa asilimia 100 kama hiyo picha ya mkutano ni sahihi au ni fake. Hiyo picha isiwe modified kwa njia yoyote na itumwe moja kwa moja baada ya kupiga.
 
attachment.php

MODS NAOMBA SANA MUANIKE UKWELI HUU,JF INAAMINIKA KUWA NI CHANZO SASAHIHI CHA HABARI,MKUTANO WA DR.SLAA WAJANA PICHA WALIZOWEKA NI UONGO.
ANGALIZO MUHIMU SANA KUHUSU PICHA ZA CHADEMA,

Hawa jamaa wa CHADEMA wameweka picha fake. Just download those pics, save them, and go to PROPERTIES. Utaona kwamba zile picha ni za tarehe 23 Nov mwaka 2011. Inaonekana pia wamejaribu kuedit kwa kutumia PHOTOSHOP ila wameshindwa. Itakuonyesha pale. Bahati nzuri sana kwenye JPG FORMAT ya picha unaweza kuedit vyoooooooote isipokuwa tu tarehe na saa ambapo picha ilipigwa!!
Jamiiforum inawatu wa IT naomba mliangalie hilio,Mkutano wa Slaa haukuwa hivi jana,ni Ulaghai kwa watu

Narudia tena Save Picha hiyo hapo juu kwenye COMPUTER yako then Right Click upate Option ya kuangalia Properties,Nenda kwenye DETAILS Utapata Muda wa PICHA ILIPOCHUKILIWA(TAREHE 23 MWAKA 2011 MWEZI 11) Itakuletea aina ya Camera iliyochukua (NIKON model D7000)
Swala la Muda kuwa ni saa 1:02 am hilo si sababu kwakuwa Mwenye CAMERA yawezekana hakurekebisha muda,lakini Ukweli utabaki pale pale kuwa picha nizauongo,Ikumbukwe kuwa hata ww kwenye simu yako usiposeti Muda na ukaangalia kwenye Misscal au Dial call zako utakuta muda wa uongo.Hivyo swala la Muda ni mwenye CAMERA hakurekebisha
Kweli we mbulula kama muda haukurekebishwa basi hata tarehe haikurekebishwa,kajipange upya
 
Watu mna moyo kweli. Kwani wanaosema kuwa hiyo picha si ya kweli wanashindwa nini kuonesha picha ya kweli? Si waoneshe hali ilivyokuwa; kuna ugumu gani? Unless ushahidi wao ni picha ya kweli yenye tarehe na muda tofauti?

Lakini njia nyingine ya wao kuweza kuthibitisha ni kuonesha kuwa Dr. Slaa alifanya mkutano Kahama November 23, 2011. Vinginevyo mna moyo kweli kupingana na ukweli.
 
Na huo mkutano inabidi uwe ulifanyika saa saba usiku !

23 Nov ilikuwa siku ya Jumatano.kama ilivyokuwa jana . So labda mpinga picha angefanya uchunguzi na kutuambia huo mkutano ulikuwa wapi na Slaa alikuwa wapi oeke yake bila jopo la wabunge wa cdm
 
Wadau,
Hii picha ina utata mkubwa sana na kuna haja ya baadhi ya mambo kuwekwa sawa.

1. Inawezekana kabisa tarehe na muda kwenye settings za hiyo camera haviko sawa.
2. Inawezekana hizo settings ziliwekwa kwa kutumia time zone tofauti na TZ kwahiyo kunaweza kuwa na utofauti kwenye masaa.

Ili kuondoa huo utata moja kwa moja, aliyepiga hizo picha atupigie picha nyingine inaweza kuwa inayoonyesha ukurasa wa mbele wa gazeti lolote la leo. Hiyo ndio itatoa ushahidi wa asilimia 100 kama hiyo picha ya mkutano ni sahihi au ni fake. Hiyo picha isiwe modified kwa njia yoyote na itumwe moja kwa moja baada ya kupiga.

Mkuu wangu hizi propaganda waachie hawa madogo wasiojitambua sio wewe.Inawezekanaje hiyo picha ikapigwa 1.02AM ? Saa saba usiku? Kwa akili ndogo tu unaona huyu dogo anapika majungu ya kitoto.Alafu angalia Program name!
 
Swala la Muda kuwa ni saa 1:02 am hilo si sababu kwakuwa Mwenye CAMERA yawezekana hakurekebisha muda,lakini Ukweli utabaki pale pale kuwa picha nizauongo,Ikumbukwe kuwa hata ww kwenye simu yako usiposeti Muda na ukaangalia kwenye Misscal au Dial call zako utakuta muda wa uongo.Hivyo swala la Muda ni mwenye CAMERA hakurekebisha

Ama kweli mfamaji haachi kutapatapa!
Jibu baadhi ya mambo ya msingi!
Je Mkutano ulifanyika au lah!
Na kama ulifanyika na wewe unasema hii si picha ya Mkutano husika basi leta za huo mkutano unaodhani haukuwa na watu ili tuweze kupambanua !
Nje ya hapo bado hujashawi mtu zaidi ya kujikwaa kwako!
 
View attachment 124907

Baadhi ya maelezo ya picha ya muda yanaonyesha kuwa :

===>Ukiangalia muda ambao picha imepigwa na uhalisia wa picha haviendani kabisa,muda unaoonyeshwa kuwa picha imepigwa inaonyesha ni saa sita na dakika arobaini na tano usiku (00:45) je picha hii itakuwa imepigwa muda huo kweli?
===>Kwa hiyo hapa kifupi inawezekana camera iliyotumika ikawa hairekebishwa muda (time setting),wahusika Kurugenzi ya Habari wanaweza wakaja na majibu ya kutosheleza kuhusiana na hili lakini inawezekana kabisa picha hizi zikawa ni za tukio husika na tarehe husika kama walivyotuma watoa mada (uzi).
Jamaa kaja resi na tarehe teh teh teh akasahau kusoma saa(00:45 usiku)wakati picha inaonyesha sio usiku,hapa inaonekana camera haikusetiwa tarehe wala muda,kaumbuka mchana kweupe...
Viva chadema,hizi koo za Panya za Lumumba humu Jf tutapambana nazo mwanzo mwisho
 
Back
Top Bottom