Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

Mkutano wa Dkt. Slaa mjini Kahama - Dec 4, 2013

Haaa! Kumbe mkutano wa babu slaa ulidoda jana! Poor CDM!!!
 
Sasa Tumwamini Nani!! Hapo Data za Picha Yako inaonekana Muda ni 1.01 AM Kwa maana Halisi ni saa 7 ya usiku iweje wakati inaonekana ni jioni hapo?
 
Mkuu Safari_ni_Safari njoo hapa ujionee mambo ya mwaka 2011! Teknolojia huwa haingopi
Tumaini Makene TUNTEMEKE anatoa ushahidi kwamba hizi picha ni za mwaka 2011 kwa maana hiyo umewaongopea watanzania, unasemaje?

Program name: ADOBE PHOTOSHOP!

HIVI UKIIANGALIA HIYO PICHA KWELI IMEPIGWA SAA SABA USIKU? COME ON!


attachment.php
 
AIBUUUUUUUUUUU YA MWAKA DR.SLAA,MKUTANO WA KAHAMA WABUMA AAMUA KUFOJI PICHA HII HAPA CHINI ILI KUDANGANYA WATANZANIA.
KWISHA HABARI YAKO CHADEMAAAAAAAAAAA,YAANI TUMAINI MAKENEN ANATUMIA PICHA ZA MWAKA 20133 TARE 23 MWEZI 11
WATANZANIAAAA AIBUUU KWA CHADEMA,FUATA MAELEKEZO HAYA HAPA KUGUNDUA NAMNA SLAA ALIVYOCHUJAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

ANGALIZO MUHIMU SANA KUHUSU PICHA ZA CHADEMA,

Hawa jamaa wa CHADEMA wameweka picha fake. Just download those pics, save them, and go to PROPERTIES. Utaona kwamba zile picha ni za tarehe 23 Nov mwaka 2011. Inaonekana pia wamejaribu kuedit kwa kutumia PHOTOSHOP ila wameshindwa. Itakuonyesha pale. Bahati nzuri sana kwenye JPG FORMAT ya picha unaweza kuedit vyoooooooote isipokuwa tu tarehe na saa ambapo picha ilipigwa!!
Jamiiforum inawatu wa IT naomba mliangalie hilio,Mkutano wa Slaa haukuwa hivi jana,ni Ulaghai kwa watu

Narudia tena Save Picha hiyo hapo juu kwenye COMPUTER yako then Right Click upate Option ya kuangalia Properties,Nenda kwenye DETAILS Utapata Muda wa PICHA ILIPOCHUKILIWA(TAREHE 23 MWAKA 2011 MWEZI 11) Itakuletea aina ya Camera iliyochukua (NIKON model D7000)

ha ha ha ha hii ni aibu ya mwaka imebuma,hiyo ni njia mojawapo,nyingine ni hii hapa EXIF Data Viewer iweke hiyo picha kwenye hiyo link utauona ukweli!!
 
Huyu tuntemeke ni kichaa kama vichaa wengine wa kawaida kabisa. Hicho anachokisema mbona hakipo? Mie niko Kahama na jana nimeudhulia mkutano huo hizi picha ni za kweli na ni za mkutano wa jana ambao mimi binafsi niliuudhulia. Mods ebu toeni upuuzi wa huyu mpuuzi hapa.
 
Tuntemenke acha kulia lia wanajamiiforums wenyewe ndio watakaoamua kama picha za jana ama mwaka 47 tatzo lako nn, hum kuna wataalam wa IT kushinda wewe
 
wameshaumbuka ha ha ha ha HA HA HA HA HA HA sasa mbona munauficha ukweli?ZZK CDM kaikamata pabaya na lazima mumrudishe mwaka huu tuendelee kushabikia,tatizo lenu chadema hamna sera mbali na vurugu na vijana wengi tunawapenda watu humo CDM kwahiyo wakihama tu tunahama nao cc Ritz, ZerMarcopolo ,Pasco , MSALANI ,FaizaFoxy

Picha zinaonekana zimepigwa saa 6 usiku je ni kweli na ndivyo unavyotaka kutuaminisha? hiyo camera inaonekana haikuwa imerekebishwa na utakuwa unatokwa povu bure maskini gamba!
 
vinginvyo save on ur IPad or IPhone then go to photos app check it on years.... 23 nov 2011...

Hizi akili za kupambana na ukweli ulio wazi!

attachment.php

Angalia tarehe na muda wa hizo detail yako, 11/23/2011 1.02 Am .
 
Hivi jembe la mkono linauzwa shilingi ngapi?Nataka kuanza kulima vitunguu niachane na chama hiki maana naona ndo kinakufa hivi.
 
Back
Top Bottom