Hao wanaosema hizo picha ni feki, inabidi walete zao, manake wanasema walikuwepo kwenye mkutano....Mbona ni kitu kigogo sana hicho kukifanya kama watu wanasema ukweli !?
Kwenye kamera unaset tarehe na muda kama unavyofanya kwenye computer. Hicho unachosema wewe hakina maana yeyote kwa sababu hiyo tarehe inaweza kubadilishwa na kuwekwa yeyote mtu anayotaka halafu likapigwa gazeti la leo kama unavyosuggest na ukaletewa original picha kama unavyoitaka....na haitaprove chochote !
Wanaosema ni feki walete zao otherwise wanatuhakikishia kwamba ni wapuuzi na waongo wakubwa !

Wadau,
Hii picha ina utata mkubwa sana na kuna haja ya baadhi ya mambo kuwekwa sawa.
1. Inawezekana kabisa tarehe na muda kwenye settings za hiyo camera haviko sawa.
2. Inawezekana hizo settings ziliwekwa kwa kutumia time zone tofauti na TZ kwahiyo kunaweza kuwa na utofauti kwenye masaa.
Ili kuondoa huo utata moja kwa moja, aliyepiga hizo picha atupigie picha nyingine inaweza kuwa inayoonyesha ukurasa wa mbele wa gazeti lolote la leo. Hiyo ndio itatoa ushahidi wa asilimia 100 kama hiyo picha ya mkutano ni sahihi au ni fake. Hiyo picha isiwe modified kwa njia yoyote na itumwe moja kwa moja baada ya kupiga.