Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 21,337
- 64,734
- Thread starter
-
- #41
Kumbe point ni kumpongeza Rais na siyo kujadili contents?Majjid Mjengwa:
Jana nilikuwepo hapa nilimsikiliza sana makamu wa kwanza wa rais Zanzibar.
Keyword aliongelea kuhusu reforms. Hii ndiyo key kwenye 4R.
Nimewaona waandishi hapa Paskal Mayala na Manyerere.
Machakato wa kidemokrasia na ni wakuendelea. Tumewaona hapa Lipumba, Cheyo. Hawa walikuwa waasisi wa demokrasia ya vyama vingi na wengine walitangulia mbele ya haki.
Watu wa vyama vyote wanakaa pamoja. Hii ni kumpongeza rais.
Hii ni fursa adhimu kwa nchi yetu.
Hapa Paschal nakubaliAdv Paskal Mayalla
Hoja zangu ni nne:
Sheria yetu ya uchaguzi naomba ifuate katiba ya Tanzania. Katiba ya Tanzana imetoa haki kwa kila raia wa tanzania kuchagua kiongozi.
Katiba imetoa haki kwa mtanzania yoyote kugombea. Hapo katikati ibara ya 21 ikachokwa kitu kingine. Eti ikiwa mtu anataka kuchaguliwa lazima awe kwenye chama cha siasa.
Tume inatakiwa iitwe Tume huru na shirikishi.
Zanzibar wanafanya chaguzi tano kwa siku moja. Na sisi tunaweza kuungani chaguzi zote kwa pamoja kwa siku moja.
Utumishi wa vyama ni kujitolea. Kwanini tuvipe ruzuku vyama vya siasa. Ukifika kama Zaire kuna vyama zaidi 500.
Fedha za nchi sio za kugharamia vyama.
Dr mjinga kama huyu ni hasara kwa taifaDr, Lilian Badi Mwenyekiti NGO taifa
Mchango uende kwa kamati itakayokuwa inafanya majumuisho. Kuhusu wakurugenzi wa halmashauri wasiwe wasimamizi wa uchaguzi.
Wakurugenzi kuwa wasimamizi wanauelewa wa maeneo ya utawala wa maeneo husika.
Kuteuliwa na rais hakutawafanya wasitekeleze majukumu yao. Kujitoa uanachama.
Athari ya watu ambao wapo nje ya Serikali ikiwemo ghrama.