PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,074
1,857
Bwana Yesu asifiwe?

Bila shaka asilimia 70 ya watanzania wamchao Mungu, muda huu wenye tvs watakuwa live kufuatilia kongamano kubwa la VUKA NA CHAKO ikiwa ni maono ya mtumishi Boniphace Mwamposa yenye maudhui ya kuupokea mwaka mpya ukiwa tayari umeshapokea Baraka, uponyaji, Rehema na Mambo mengine kwa uweza wa Bwana Yesu.

Nimeona nikuwekee tukio hili kwasababu siyo kongamano dogo, uwanja umejaa kabisa. Kongamano hili lipo live kupitia channel ya ARISE AND SHINE TV. Jiungamanishe nawe uvuke na chako.

=========

Mpaka saa 22:42 apostle Mwamposa alikuwa hajapanda kwenye madhabahu yaliyoandaliwa katika uwanja wa mpira wa Benjamin Mkapa, ila kwaya na ahuhuda , sadaka na matangazo ya kawaida yalikuwa yanaendelea

======

23:10 Apostle Mwamposa aliwasili na kuanza ya Mkesha kwa kufugua na sala ya BABA YETU ULIYE MBINGUNI

20221216225528_2.jpg
20221216225528_1.jpg
20221216225528_2.jpg

20221216225528_0.jpg
 
Acha watu wapige pesa kwa kuwatumia wengine
Kama watu wanatoa pesa na wanapokea matamanio ya mioyo yao, yaani wanafanikishwa, acha watoe, ukidhani nivirahisi, itisha kongamano na wewe uone kama utawapata hao watu. Tusiwe na mawazo yenye mlengo hasi tu, tujifunze pia kwanini Boniphace Mwamposa kafanikiwa hivi na iwe chachu kwenye maisha yetu.
 
Nasikia mpaka muda Watanzania wengi wenye Akili Tinamu wamekataa kwenda kufanywa Mazuzu na Ngazi ya Tapeli wa Kiimani kuendelea Kutajirika huku Wao Umasikini ukiendelea Kuwaganda kama Luba.
 
Kama watu wanatoa pesa na wanapokea matamanio ya mioyo yao, yaani wanafanikishwa, acha watoe, ukidhani nivirahisi, itisha kongamano na wewe uone kama utawapata hao watu. Tusiwe na mawazo yenye mlengo hasi tu, tujifunze pia kwanini Boniphace Mwamposa kafanikiwa hivi na iwe chachu kwenye maisha yetu
Acha up..umbavu wewe..

Mimi nina akili kinoma..siwezi kuchotwa kibwege hivo..
 
Poleni na uchovu

Ivi kuna mtu mwingine anae weza jaza uwanja wa taifa ukitoa simba na yanga wanaweza kujaza uwanja

Hila huyu mtu kajua kuwateka wa tanzania hila sikuizi watu wanapenda miujiza haya

Na hapo bado njee kuna watu wanasubili kuingia tutegemee nini?

22CB4CFB-C31D-4CA4-97CA-4DBF06CAF22D.png
 
Back
Top Bottom