Njoo utabiri kikosi chako maridhawa kitakachomchapa mtani siku ya Jumapili tar. 16/4 /2022 Uwanja wa Mkapa

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,747
Naam, ile siku pendwa/siku madhubuti siku ya watani wa jadi/maacha wa kariakoo/sunche na kapeto au pingu na denso watakichafua, kambumbu itapigwa haswa maana timu zote mbili zinahitahi heshima na point tatu muhimu.

Shabiki wa Simba/Yanga dondosha utabiri wa kikosi chako kitakachomuua mtani kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.

Nikiwa kama shabiki wa Yanga natabiri kikosi/nondo ambazo ataingia nazo na kwenda kumdhibiti mtani wa jadi. Hiki ndiyo kikosi kifuatacho cha Yanga kitakachomuua mtani;

(1) Diara the screen protector, naiona nafasi yake kuanza kutokana na ubora aliounyesha mpaka Sasa anaongoza kwa kutofungwa magoli mendi, huyu lazima ataanza.

(2) Djuma Shabani, huyu ni beki namba mbili, Nampa nafasi yakuanza kutokana na uzoefu alionao na ubora kwa hiyo naona kabisa kocha nabi atamtumia.

(3) Kibwana/Lomalisa beki ya kushoto kutokana na uzoefu naona nabi anaweza kumuanzisha kibwana shomari lomalisa akamaliza akitokea sub.

(4) & (5) Bakari Nondo is back hili halina kipingamizi, kaonyesha kiwango kikubwa nafikiria kocha Nabbi atampa jukumu lakulinda lango yeye na Dickson Job, sina mashaka kwa uwezo wao.

(6)& (8) Dimba la kati Bangala na Aucho kuna fujo kubwa kubwa/vurugu itatokea hapa kulingana na ubora waliouonyesha mechi zilizopita, hakika hatuna mashaka tutegemee kuona vita kali dimba la kati, kati ya Mzamiru na Aucho vita yao haijaisha toka kwenye mechi ya Uganda vs Taifa Stars lazima dimba la kati liwake moto.

(7) Si mwingine ni yule yule winga teleza/winga spid Yesu wa Kongo Jesus Ducapel Moloko, lazima ataanza kwenye kikosi naimani nae na wala sina mashaka nae juu ya uwezo aliounyesha michezo iliyopita.

(9) Mzee wa kutetema/roboti Fiston Kalala Mayele, namuona Inonga akitetea kibarua chake kwa hali na mali ili kisiote nyasi, hapa naiona vita kali kati ya hawa Wakongo wanaojuana.

(10) Mudathiri ataanza Aziz KI atamaliza, hii mechi imekaa kimbinu sana naona Prof. Nabi akijaza wakabaji na ndiyo lengo lakumuanzisha Mudathiri Azizi amalize baada yakusoma nakulegeza njia.

(11) Nampa nafasi Kenedy Musonda kuanza, amekuwa na spirit kubwa sana katika kutafuta mabao/kujituma kwa bidii na kiwango bora alichokionyesha kwa mechi zilizopita basi lazima kocha Nabi atampa nafasi yakuanza.

Bench: Morrison, Metacha, Kisinda, Bacca, Faridi Mussa.

Hilo ndiyo kosi langu la maangamizi, shabiki wa Simba/Yanga tabiri kikosi chako kitakachomuua mtani.
 
Yaani kocha ana kazi rahisi sana ya kupanga kikosi.
 
Back
Top Bottom