Mke anadai mimi nimemuibia pesa zake, amani imetoweka

Wallah Ndoa haina RAHA tupu kuna na mitihani kama hiyo ni wajibu wetu tukiwa kama binadamu kuthibiti,sisemi kua ni rahisi lakini jitahidi sana kua mvumilivu na muelewa Mkuu,kwanza fikiria familia yako pili usi fanye maamuzi ukiwa na hasiri..
Mimi yalinikuta hayo niliambiwa nimeiba mil 12 za shemeji yangu wakati hata chumbani kwa shemeji siingi,wakunitetea alitakiwa awe mumewangu nnae lalanae na kuamka nae na yeye pia alijiunga na ndugu zake sikutegemea kama angeweza kunubadilikia,lakini niliepusha shari pesa niliwapa na Sorry nikaomba nikawa nanuka wizi kwenye ukoo mzima, baada ya siku 20 nikiwa naimba mungu sanaaa kwa vilio,kumbe mtoto wa yule shemeji ndio alie chukua hela akaenda South Africa kipindi kile cha kuzamia wakakamatwa njiani hela zikaibiwa na kupigwa juu,akaletwa nyumbani hoi kuulizwa ilikuwaje ndio akasema mwanzo mpaka mwisho,ebu vuta picha kama ungekua wewe ungefanyaje?
Kama kuna mtu alie simama na mimi kua siwezi kuiba ni Mkwe wangu mamake mume wangu ukweli ulipo julikana tuu,nilifungasha wanangu kwetu nikasema hiyo pesa mkinipa sawa na msiponipa pia nimesamehe Talaka yangu mr utaileta
nyumbani kwetu.....nisikuchoshe mkuu.... chamsingi vuta subra familia yako ni muhimu sanaaaaa..
mmh makubwa aiseee . kwa hiyo sasa umerudi kwa mumeo?
 
we achana nae kama hataki kusikiliza hata baada ya vikao vyote,

ataenda kwao huko atakaa halafu atarudi kukuomba msamaha mrudiane,
kumpa hela ni kukubali wewe ndie uliyechukua ukawa unatingisha kiberiti

mwanamke kuamini kua mume ndio kamuibia hela wakati mume huyohuyo ndio alimpa mtaji ni udhalilishaji mkubwa ambao nisingeuvumilia hata kidogo ningekua mimi
i mwenyewe kaniudhi ama anatafuta gia ya kumwacha mwanaume...
 
Kuna makanisa mengine, Mungu aniepushe. Pastor hiyo anasubiri 10% au 20% au yoyote atakayodai biashara ikizidi kuimarika. Ila wengi waongo na hapo mkeo kashamsikiliza na kumuamini kazi ipo.
 
Kuna watu wanajua harufu za hela hatari, itakuwa walinusa tu na za mkeo so wakazipiga huko huko kwenye mizunguko yake. Kuhusu huyo pastor hata cha kusema sina
 
Wallah Ndoa haina RAHA tupu kuna na mitihani kama hiyo ni wajibu wetu tukiwa kama binadamu kuthibiti,sisemi kua ni rahisi lakini jitahidi sana kua mvumilivu na muelewa Mkuu,kwanza fikiria familia yako pili usi fanye maamuzi ukiwa na hasiri..
Mimi yalinikuta hayo niliambiwa nimeiba mil 12 za shemeji yangu wakati hata chumbani kwa shemeji siingi,wakunitetea alitakiwa awe mumewangu nnae lalanae na kuamka nae na yeye pia alijiunga na ndugu zake sikutegemea kama angeweza kunubadilikia,lakini niliepusha shari pesa niliwapa na Sorry nikaomba nikawa nanuka wizi kwenye ukoo mzima, baada ya siku 20 nikiwa naimba mungu sanaaa kwa vilio,kumbe mtoto wa yule shemeji ndio alie chukua hela akaenda South Africa kipindi kile cha kuzamia wakakamatwa njiani hela zikaibiwa na kupigwa juu,akaletwa nyumbani hoi kuulizwa ilikuwaje ndio akasema mwanzo mpaka mwisho,ebu vuta picha kama ungekua wewe ungefanyaje?
Kama kuna mtu alie simama na mimi kua siwezi kuiba ni Mkwe wangu mamake mume wangu ukweli ulipo julikana tuu,nilifungasha wanangu kwetu nikasema hiyo pesa mkinipa sawa na msiponipa pia nimesamehe Talaka yangu mr utaileta
nyumbani kwetu.....nisikuchoshe mkuu.... chamsingi vuta subra familia yako ni muhimu sanaaaaa..
he sasa kwanini uliondoka maee wakati ulishavuka mazito zaidi
 
Bado ndoa ipo?
 
amekwambia hajachukua amlipe vipi sasa
Mm najua huyu mwanamke anamtafutia mwanaume visa ili NDOA ivunjike afanye yake!! jamaa kama atamlipa bora mwanaume avunje ndoa!! na hyu mchugaji kajuaje kama ndiyo yy jamaa kuchukua hela? wanawake wengine bhana
 
Pastor amepiga ramli chonganishi yaani huyu hana tofauti na waganga wa kienyeji kwa style hiyo. Ila kama kweli haujachukua subiri hiyo ultimatum yake ikifka what she will decide bless her. Go on man coz the strongest man is the man who stands alone.
 
Kwanini aliamua kukutuhumu wewe binafsi kwa kumuibia pesa zake?
Ni pesa zote zimeibiwa ama?
Mnaishi nyumba ya kupanga ama ni miliki yenu?
Ni kwa mda gani mnaishi na housegirl?

Nijue kwanza majibu ya maswali haya.
 
Mwezi mmoja uliopita wife alipata mkopo kutoka mahala fulani wa shilingi 6 million, lengo la mkopo huo ilikua ni kuimarisha biashara yake ya restaurant na kuipanua zaidi, mm ndie nilitoa mtaji wa hiyo restaurant wakati inaanza

Siku ya tukio alichukua pesa hizo benki na kuziweka kwenye pochi kubwa na kuanza kuzunguka nazo tangu asu ubuhi hadi jioni aliporudi, mm nilirudi usiku mwingi kutoka kwenye pombe na nilimkuta ameshalala nilihudumiwa na hg chakula nikaenda kulala, asubuhi ndipo hakuziona pesa zake kwenye pochi
Mm sikua najua hata kaja na hela hadi aliposema haoni pesa zake na kuangua kilio kizito sana

Jioni akaenda kwa mchungaji wa kanisa lao na kufanya maombi kuhusu jambo hilo, eti katika maombi hayo mchungaji akaoneshwa kuwa ni mm ndio nimechukua hizo pesa, usiku hatukulala aliongea usiku kucha tena sebuleni akipayuka kuwa nimrudishie hela zake la sivyo ndoa itaishia hapo na atanifungulia kesi, ni mwezi sasa tangu tukio hilo hatuongeleshani, hakuna tendo, usiku anakwenda kulala kwa watoto, ametoa ultimatum kuwa kama sijamrudishia pesa zake nisije nikamlaumu, nikamjibu sawa naisubiri hiyo ultimatum tuone,

Nimekataa vikao vyote vya usuluhishi kwa sababu ya maneno yake machafu, na nimeona ni udhalilishaji kwenda kujadili kuwa nimechukua hela pesa za mke wangu, kama hataki abebe vitu vyake aondoke, nimejiepusha kumpiga tangu mwanzo kwa kuzuia hasira zangu, lakini sasa inaenda kushindikana

Kuna yoyote kati yenu mwenye wazo jipya juu ya ufumbuzi wa mgogoro huu?

Maana nimeathirika kisaikolojia, watoto pia hawaelewi kwa nn mama analala room kwao, wameathirika pia, lakini zaidi ya yote nina mwezi mzima sijapata haki yangu ya msingi (matrimonial right) na sasa nimeanza kufikiria njia mbadala iwapo mgogoro huu utaendelea

Nahitaji mawazo yenu

huyo anakuletea sanaa mkaushie tuu we endelea na code zako
coz hayo ni maigizo ukilipa ina maan aumechukua na ndo utakuwa umempa pakukusokotea.

simama kama mwanaume ambaye ndiye mwenye mamlaka ndani ya nyumba hawa viumbe ukiwaendekeza ni pasua kichwa
 
it depends na uhusiano wenu ulivo,

katika hali ya kawaida asingeweza kukopa bila kukuambia, acha kukusingizia angeishia kupata kichapo cha kwa nn kakopa bila taarifa then ifuatie kwann anakusingizia!

Lastly kama kero zinaongezeka ndo ingefuata talaka halafu hizo hela ndo zingemfuata kwao!
 
Ni kawaida kwa wamama wa kilokole akipata pesa ndefu breki ya kwanza kwa mchungaji kwenda kushukuru kwamba maombi ya mchungaji yamezaa matunda,sasa katika harakati za kupandisha mapepo ,kugaragara na kunywa blackcurrent wakiwa wanaomba pengine kutokana na uchofu alisahau kukagua mkoba kabla hajaachana na baba mchungaji
 
Huyo ni Mchungaji au mganga wa kienyeji maana hakuna mchungaji anaweza toa conclusion ya namna hiyo yenye nia ya kuvunja ndoa za watu.
 
Ni kawaida kwa wamama wa kilokole akipata pesa ndefu breki ya kwanza kwa mchungaji kwenda kushukuru kwamba maombi ya mchungaji yamezaa matunda,sasa katika harakati za kupandisha mapepo ,kugaragara na kunywa blackcurrent wakiwa wanaomba pengine kutokana na uchofu alisahau kukagua mkoba kabla hajaachana na baba mchungaji
huyu mchungaji ndo aliyevunja ndoa ya huyu jamaa na sisi walokole wapuuzi sana inakuwaje uamini maneno ya haya majamaa uyanayojiita manabii yaaani as if they are god pyeeee
 
Back
Top Bottom