The folly of arrogance, wantonly deceit
The thrill of victory, agony defeat
si useme chadema, kwani ccm chama cha majeshi ? kinashinda kwa nguvu za wananchi
Nadhani huyu mtoto wa Mkapa amefanya la maana sana kuwakata kilimilimi wenye magazeti kwa kuandika habari zisizo na uthibitisho. Mkapa sio fisadi na kila mtu anajua hilo.
chuki tu na wivu wa wapinzani.
Kidumu chama cha mapinduzi, adumu mkapa na familia yake
Hawashindi kihivo bana CCM wezi wa kura kila mtu anajua
Ajibu tuhuma kwa waandishi wa habari, kwani wao wamekuwa mahakama? Kwa nini hiyo serikali ya CCM haitaki kumfikisha mahakamani?
Mkumbo njia pakee ya kubana mafisadi ni kuandika mpaka wajichanganye nawapa waandishi kumi. hata nchi zilizoendelea ili serikali kuingilia kati lazima waandike sana wakati mwingine hasa pale inapohusu watu wazito. angalia marekani kufuzwa kwa attoney general alberto au Libby au kesi ya Palm. waandishi hawakuhoka kuandika tena juuya wahusika binafsi
Hata mimi ningekuwa mtoto wake Mkapa ningekuwa na ghadhabu kubwa kabisa na waandishi wa habari kwa sababu wao wamebaki kulia na Mkapa badala ya kuibana serikali imfikishe mahakamani. Kama ni tuhuma, waandishi wa habari wameshaziweka wazi, sioni kilichobaki tena cha kuzungumza kuhusu Mkapa. Kama hatuwezi kuibana serikali imfikishe mahakamani waandishi na sisi tukae kimya waendelea kutesa mtaani na mapesa yao.
Nadhani huyu mtoto wa Mkapa amefanya la maana sana kuwakata kilimilimi wenye magazeti kwa kuandika habari zisizo na uthibitisho. Mkapa sio fisadi na kila mtu anajua hilo.
chuki tu na wivu wa wapinzani.
Kidumu chama cha mapinduzi, adumu mkapa na familia yake
Kama mbunge anafanya kazi yake sawasawa hana haja ya kuwa na wasiwasi. Akiondolewa kwa fitina, rekodi za utendaji kazi wake hazifutwi. Wananchi wameshafumbuka macho, wanapata shida kwa sababu ya UFISADI. Kama kweli huko Vunjo hawalioni hilo eti kwa sababu FISADI kawaolea mwanao hiyo ni balaa. Huenda huko Vunjo kuna neema tele, itabidi watu wa sehemu zingine zenye matatizo luluki waangalie suala la kuhamia huko Vunjo.
NA KUMUACHA YULE ALIYEKUWA MCHUMI WA WORLD BANK...MR MOSHA[DIRECTOR - NICO]....
Ccm wilaya ya moshi mjini hususani jimbo la vunjo lina mpasuko mkubwa sana wa kisiasa kwamakundi makubwa mawili ambapo kundi moja dogo na lisilo na ushawishi likijaribu kumtetea Mh Aloyce Kimaro dhidi ya kauli yake tata kuwa Ben Mkapa ashtakiwe,na kundi jingine kubwa na linaloungwa mkono na madiwani na wananchi likisema ni ukosefu wa adabu kwa chama na kwa shemeji yao Mkapa,hivyo wanadai mipango ya kumuondoa Kimaro ianze mapema.
Wafanyabiashara wakubwa wameungana na madiwani wote kwa ajili ya kumuondoa huyu bwana ambaye ni mlopokaji mkubwa,kuonyesha hali ilivyo mbaya ilifika mahali wiki aliopita kuliitishwa mkutano wa chama ambapo bwana Kimaro aliomba amani iwepo kwa muda ili aweze kutekeleza ilani japo kwa muda na kuomba msamaha wale aliowakwaza kwa namna moja au nyangine.
Baada yaujio wa katibu mpya wa mkoa mama mauldine Castico imebidi kuchukua hatua za haraka kwa kuwahamisha kituo cha kazi Katibu wa Chama wa wilaya Mama Mpambalyoto na msaidizi wake Ndg Chale,jambo ambalo kwa uchunguzi wa harakaharaka haliwezi kumsaidia Kimaro kupata adhabu ya wapiga kura wake.
Hiyo ndiyo zawadi itolewayo na CCM kwa mtu yeyote yule ateteaye maslahi ya nchi. Sijui kwa nini huyu mheshimiwa hakujifunza kutokana na yaliyomkuta mwenzie Zitto.
huyu anaezungumza kuhusu wananchi kumkataa kimaro kwa kumdhalilisha mkapa wanaota alinacha.
umaarufu wa mkapa unaishia pale old moshi kidia alikooa na kufunga harusi pale kanisa kuu la kristu mfalme moshi kama vile kule masasi hakuna makanisa.
ukitaka kujua msimamo wa wananchi wa moshi kawaulize akina mramba walivyopigwa mielelka 1995!
hawana mchezo wale
Mkuu wangu heshima mbele, naomba kuweka marekebisho kidogo huyu jamaa hajawahi kuwa Director wa Uchumi wa World Bank hata siku moja, ingawa anaweza kuwa amekupandisha mkenge hata wewe mtu mzima, alikuwa na capacity ya u-director hivi kule UN, ninamjua sana ni mazishi na magirini sana,
tatizo lake sio wananchi huko jimboni, isipokuwa ni wakulu ndani ya CCM, kwa sababu Mtei alipoanizhsa Chadema, huyu mkulu alidhani kuwa huenda akashinda urais, akajiweka swa naye, na baadaye alipooona Mrema ana dalili za kuwa rais, tena mkulu akajipanga naye sawa, wakati wote huu alikuwa anaishi NY, baadaye alipooona hakuna dalili akajiingiza kwa karibu na Mwalimu(RIP) ili apate njia ya kuingia ubunge kwa tiketi ya CCM, all this time CCM walikuwa wanam-monitor bila ya yeye kujua, ndio maana mpaka leo yuko beach na wakulu huwa hawataki hata kumsikia, lakini masikini ya mungu huwa hajui na huenda kujichanganya sana nao, I wish watu wengi wangezielewa siasa za bongo as I do, wasingekuwa wananaswa kwenye mitego ya hawa viongozi wetu uchwara,kwa sababu ninajua for a fact kuwa huyu mkulu amepoteza hela zake binafsi nyingi sana kujaribu kufukuza hewa ya kupata ubunge huko!
Ahsante mkuu!
Mkuu wangu heshima mbele, naomba kuweka marekebisho kidogo huyu jamaa hajawahi kuwa Director wa Uchumi wa World Bank hata siku moja, ingawa anaweza kuwa amekupandisha mkenge hata wewe mtu mzima......
heshma kulia MKUU...UKWELI MTUPU!!!!
...BEN JIMBO LA ROMBO SHAKULA ILE....MRAMBA HAGOMBEI TENA 2010...KAMA UNAMFAHAMU MTU MWENYE MENO..MWAMBIE ANOE KISU..AGOMBEE PALE!!!!