Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

duh yaani mke ni wa kijiji kizima mpaka watu wote wa vunjo wadai mkapa ni mkwe wao.
kwa hiyo kumgusa eti umewagusa wote. duh! this is ubeliavable!

Huyu Kimaro anatapatapa tu. Unajua kuna watu (wabunge) wanakurupuka sasa hivi ili kujinusuru ifikapo 2010 kwenye kura za maoni. Wanajua kinachoendelea majimboni mwao kwa sasa hivi.

Nafikiri alikaa chini akajiuliza atoke vipi, na akaamua kutoka na Mkapa ili apate "attention" ya walalahoi. Sasa anaanza kulialia. Maana sidhani yeye kama yeye anazo data za kujiridhisha kwamba aliyoyasema anaweza kuyathibitisha kweli. Kimsingi alikurupuka tu, maana alichonacho ni nakala za magazeti yaliyokuwa yakiandika habari za ufisadi wa Mkapa.
 
TATIZO HAO WANANCHI NDIO HAWAMTAKI NA WANASEMA WAZIWAZI.NJOO HUKU VUNJO UAMBIWE HAYO MAMBO.MPAKA MAKANISANI HAWATAKI KUMSIKIA..ALIOANDIKA DIKTETA NI YA KWELI.LABDA MPENI JAMBO DAR.

kama ndo hivyo basi wananchi wa huko Moshi wanaishi dunia ya nyuma zaidi bado wapo kwenye ujima...kwa ushemeji na Mkapa basi wanaona kama ni Clean kwao hata kama amefanya ufisadi...
Kweli jamani mapambano dhidi ya ufisadi yanakatisha tamaa sasa....kwa hiyo wananchi wanafrahia madawati hakuna mashuleni,madawa hakuna kwenye mazahanati,barabara hazipitiki kipindi cha masika n.k
hapo sasa nikuhama tu bora uishi DRC au Burundi kuliko TZ.
 
kumbe castico yuko huko ? huyu si ndo yule alikuwepo kiswandui zanzibar au mwengine ?

na kama ndie ile kesi yake ya uraia imefikia wapi ?

Castico wa Kisiwandui ndiye huyo huyo. Ila tu ni kwamba aliponywea uraia wake aliupata mara moja. Hata wewe ukiwa kinyume na muundo huu uliopo watakwambia wewe ni raia wa Comoro au Seychelles. Jaribu uone lakini kumbuka sumu haionjwi.
 
Kiburi lazima wawe nacho maana katiba na raisi wanawalinda.
maneno matupi hayavunji mfupa.
kila mtu anajua
 
Jamani hakuna mwananchi wa kawaida kama hajapewa chochote anaweza kumtetea mkapa hata kidogo, wachunguzeni hao mnaosema hawamtaki kimaro at the end of the day mtagundua kuwa wamepewa chochote ili kuonekana kana kwamba hawamtaki kimaro ili wamwaibishe.

Sikujua kama wachaga nao wamerudi kufanana na makabila mengine tanzania amabao wanapokea sh. 5000 na kueneza propaganda chafu wakati wanauwezo wa kutafuta pesa za maana, wanatia aibu.

Hii nchi ilipofikia inahitaji dikteta wa kuamua mambo yeye binafsi hasa ya msingi otherwise hii brand waliyopewa wananchi wa tanzania ya "sisi masikini' hakuna yeyote atakayemkatalia mtu anayekuja na sh. 5000 kufanya lolote amabalo anaona linafaa kumfurahisha mtu aliyempa pesa.

Tunahitaji kubadilika kwa mawazo kwanza kabla ya yote maana mafisadi wanatumia umasikini kuiba mali za nchi tajiri kama tanzania na kusema ni nchi masikini, wakati tanzania ni tajiri ulimwenguni, watu inabidi wakatae jina la masikini walilobatizwa na watawala chini ya usimamizi wa mafisadi then we can change tanzania.
 
Mi nadhani hao wananchi wa vunjo wanataka kuturisha mwaka 47 hivi kimaro kweli wanaona amekosa adabu kweli wakati mambo yaliyofanywa na huyo bwana BM ni machafu na nilitegemea baada ya kimaro kulianzisha alitakiwa kupata support kutoka kila upande.

Hivi wajameni hizi rangi za kijani na njano zina kitu gani cha ziada nadhani kuna watu wakiziona wanachanganyikiwa na kusahau kuwa nchi inapelekwa porini......

Ama kweli asiyejua maana usimwambie maana na ndio hao hao pembeni wanalalamika kuwa nchi inaliwa na mafisadi hivi kuna chama kilichojaza mafisadi kama CCM???? MUNGU TUSAIDIE SIJUI LINI WATU WETU WATAAMKA KUTOKA KWENYE HUU USINGIZI MZITO!!!
 
Kimaro keep it up sioni tatizo apo,mungu akulinde na wazalendo kama sisi tuko nyuma yako.
Aluta continua.................

KIMARO HANA NJIA YA KUTOKA HAPO ATA KAMA MTAKAA WANA JF WOTE NA KUSALI USIKU MZIMA,IKIFIKA MAHALI CHAMA CHAKO KIMEKUKATAA,MADIWANI HAWAKUTAKI NA WANANCHI WANASEMA HUWAFAI,HAPO NI WAZI ANAKWENDA NA MAJI.
 
Wakuu wa Nipashe, kwenye hili mmmekosea sana hili MERINYO ni jina la mdogo wake Steve, anayeitwa Nico, ambalo alipewa na Mama Butiku akiwa mdogo sana, ni marekebisho kidogo, ngoja nimalizie article kwanza.

...marekebisho kidogo ...NICO alipewaa jina MERINYO na babu yake yaani baba yake mama mkapa ..marehemu MERINYO MARO......

..kuna aliyesema KUHUSU huyu dogo steve kuwa hana kazi si kweli ..siku hizi anafanya kazi....ila muda wake wote wa ziada anautumia ..kama alivyosema...
kuhusu gudge kwa mdogo wake kuhusu RANGE sidhani KWA sababu hata yeye ana posh car ila hupenda kujichanganya na simples...watu wanatofautiana!

nadhani ni haki ya wananchi kulalamika LAKINI pia yeye ni haki yake KUMTETEA BABA YAKE.....definatelly katika hali ya kawaida FAMILIA lazima imtetee ..unategemea nini....
 
huyu anaezungumza kuhusu wananchi kumkataa kimaro kwa kumdhalilisha mkapa wanaota alinacha.
umaarufu wa mkapa unaishia pale old moshi kidia alikooa na kufunga harusi pale kanisa kuu la kristu mfalme moshi kama vile kule masasi hakuna makanisa.

ukitaka kujua msimamo wa wananchi wa moshi kawaulize akina mramba walivyopigwa mielelka 1995!
hawana mchezo wale
 
Jamani hakuna mwananchi wa kawaida kama hajapewa chochote anaweza kumtetea mkapa hata kidogo, wachunguzeni hao mnaosema hawamtaki kimaro at the end of the day mtagundua kuwa wamepewa chochote ili kuonekana kana kwamba hawamtaki kimaro ili wamwaibishe.

Sikujua kama wachaga nao wamerudi kufanana na makabila mengine tanzania amabao wanapokea sh. 5000 na kueneza propaganda chafu wakati wanauwezo wa kutafuta pesa za maana, wanatia aibu.

Hii nchi ilipofikia inahitaji dikteta wa kuamua mambo yeye binafsi hasa ya msingi otherwise hii brand waliyopewa wananchi wa tanzania ya "sisi masikini' hakuna yeyote atakayemkatalia mtu anayekuja na sh. 5000 kufanya lolote amabalo anaona linafaa kumfurahisha mtu aliyempa pesa.

Tunahitaji kubadilika kwa mawazo kwanza kabla ya yote maana mafisadi wanatumia umasikini kuiba mali za nchi tajiri kama tanzania na kusema ni nchi masikini, wakati tanzania ni tajiri ulimwenguni, watu inabidi wakatae jina la masikini walilobatizwa na watawala chini ya usimamizi wa mafisadi then we can change tanzania.

Ni kwamba haya yote ni mauzauza tu. Hii habari imetengenezwa ili jamaa (Kimaro) aone kama atapona hasira ya wanajimbo lake. Analijua hilo, na wala halihusiani kabisa na ufisadi au sijui ushemeji wa Mkapa. Alishalikoroga kabla ya haya aliyoyasema huko bungeni. Na sasa aliporudi jimboni, bado akaambiwa kwamba licha ya kutema cheche huko bungeni katika kikao kilichopita, yale aliyokwishaharibu huko nyuma yanamwondolea sifa moja kwa moja. Lakini hazuiwi kuendelea kuwakomalia mafisadi kama alivyoonyesha. 2010 atafute kazi nyingine. TLP nao naona wameanza kulimezea mate jimbo lake. Kwa hiyo tarajia mengi toka jimboni.
 
Siyo kweli kwamba hawa jamaa wamerudi nyuma. Wanachokikataa ni Kimaro kuja na hii "rushwa" ya ufisadi wa Mkapa ili kurudisha imani ya wapiga kura wake wakati walishampa live kwamba 2010 hawataki kumuona tena. Sisi tungependa aendeleze "mapambano dhidi ya mafisadi" huko bungeni, lakini akumbuke ni mambo gani yamemkwaza huko jimboni kwake tangu 2005. Aliingia siasa akidhani ni mchezo wa kuigiza siyo!! Hiyo akawadanganye wengine, lakini siyo hawa jamaa. Hawarudi nyuma kamwe.
 
Ni kwamba haya yote ni mauzauza tu. Hii habari imetengenezwa ili jamaa (Kimaro) aone kama atapona hasira ya wanajimbo lake. Analijua hilo, na wala halihusiani kabisa na ufisadi au sijui ushemeji wa Mkapa. Alishalikoroga kabla ya haya aliyoyasema huko bungeni. Na sasa aliporudi jimboni, bado akaambiwa kwamba licha ya kutema cheche huko bungeni katika kikao kilichopita, yale aliyokwishaharibu huko nyuma yanamwondolea sifa moja kwa moja. Lakini hazuiwi kuendelea kuwakomalia mafisadi kama alivyoonyesha. 2010 atafute kazi nyingine. TLP nao naona wameanza kulimezea mate jimbo lake. Kwa hiyo tarajia mengi toka jimboni.

Alikuwa anatafuta cheap popularity na akafikiri wapigakura wake watadanganyika na hilo, Ni vigumu sana! Hapo ndipo amejiongezea matatizo!

Hata hivyo, aliyoyasema ni kweli ila hawezi kuyathibitisha!
Kama anaweza angetafuta namna nyingine hata nje ya bunge kuyathibitisha!
 
'Aidha, Bw. Steven, aliwashangaa waandishi hao pamoja na watu wengine wanavyopoteza muda wao kukaa na kumjadili baba yake badala ya kutekeleza majukumu yao ya kila siku.'

kwani majukumu ya waandishi wa habari ni yapi?
 
...marekebisho kidogo ...NICO alipewaa jina MERINYO na babu yake yaani baba yake mama mkapa ..marehemu MERINYO MARO......

Ahsante mkuu kwa marekebisho, maana binafsi nimeliskia sana hili jina likisemwa na mama butiku ambaye ndiko wamekuwa wakiishi toka wakiwa wadogo mpaka mkuu alilpopata urais, ndio waka-shift na kurudi kwa mkulu, na nilipomuuliza akasema kuwa ni yeye ndiye aliyempa hilo jian, lakini sikuuliza sababu, anyways ahsante kwa marekebisho!

Tupo ukurasa mmoja!
 
RO......

..kuna aliyesema KUHUSU huyu dogo steve kuwa hana kazi si kweli ..siku hizi anafanya kazi....ila muda wake wote wa ziada anautumia ..kama alivyosema...
kuhusu gudge kwa mdogo wake kuhusu RANGE sidhani KWA sababu hata yeye ana posh car ila hupenda kujichanganya na simples...watu wanatofautiana!

HUYU MTOTO SI YULE NILIYEMWONA PALE ARDHI INSTITUTE MWAKA 1992, AKIMFUATA YULE KAKA YAKE WA KUFIKIA PETER MARO? KWANI ALISHAACHA BANGI NA MADAWA YA KULEVYAA?

AMESHAACHA KUKATA NYWELE FIDO FIDO? kama anachangnyika na watu simple ni wavuta bangi wenzake. tusipoteze muda wetu kuwa-discuss wavuta bangi tuna vita kubwa sana mbele yetu
 
Back
Top Bottom