Mtoto wa Rais mstaafu, Bw. Benjamin Mkapa, Steven Mkapa, amevishutumu vyombo vya habari kwa kumwandika vibaya baba yake kuwa ni fisadi. Alisema kuwa kinachofanywa sasa na vyombo hivyo ni kumshushia baba yake heshima na utu alionao katika jamii. Mtoto huyo ambaye alijigamba kuwa kinachotafutwa na waandishi wa habari katu hakiwezi kupatikana kwa kuwa uelewa wao ni mdogo.
Aidha, Bw. Steven, aliwashangaa waandishi hao pamoja na watu wengine wanavyopoteza muda wao kukaa na kumjadili baba yake badala ya kutekeleza majukumu yao ya kila siku.
Mi nadhani hao wananchi wa vunjo wanataka kuturisha mwaka 47 hivi kimaro kweli wanaona amekosa adabu kweli wakati mambo yaliyofanywa na huyo bwana BM ni machafu na nilitegemea baada ya kimaro kulianzisha alitakiwa kupata support kutoka kila upande.
Hivi wajameni hizi rangi za kijani na njano zina kitu gani cha ziada nadhani kuna watu wakiziona wanachanganyikiwa na kusahau kuwa nchi inapelekwa porini......
Ama kweli asiyejua maana usimwambie maana na ndio hao hao pembeni wanalalamika kuwa nchi inaliwa na mafisadi hivi kuna chama kilichojaza mafisadi kama CCM???? MUNGU TUSAIDIE SIJUI LINI WATU WETU WATAAMKA KUTOKA KWENYE HUU USINGIZI MZITO!!!
Aliyasema hayo jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na Nipashe wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa na kampuni inayojishughulisha na utengenezaji na usambazaji wa vifaa vya maji ya ERV East Africa.
SOURCE: Nipashe
nani atakuja hapa, hana kazi huyo, ccm kuna mapesa na kila kitu. huyo mnyika atajiunga tu ccm kwani njaa zitamzidi huko chadema. sasa hivi ni maandalizi tu ya kuwachafua viongozi wote wa upinzani na wanachadema hapa hadi mambo yageuke.
TATIZO HAO WANANCHI NDIO HAWAMTAKI NA WANASEMA WAZIWAZI.NJOO HUKU VUNJO UAMBIWE HAYO MAMBO.MPAKA MAKANISANI HAWATAKI KUMSIKIA..ALIOANDIKA DIKTETA NI YA KWELI.LABDA MPENI JAMBO DAR.
Ccm wilaya ya moshi mjini hususani jimbo la vunjo lina mpasuko mkubwa sana wa kisiasa kwamakundi makubwa mawili...
...Wafanyabiashara wakubwa wameungana na madiwani wote kwa ajili ya kumuondoa huyu bwana
Mzee Kimaro.. usiwe na wasiwasi kaza uzi ule ule mapambano ndio yameanza tu...
Sio kila mtu katika hili taifa anaingia katika siasa kwa sababu ya njaa, wengine wapo kwenye siasa kwa sababu wana imani wanaweza kufanya mabadiliko kwa njia moja au nyingine. Mabadiliko hayo yanaweza yasiwe makubwa lakini yakawagusa watu na maisha yao yakabadilika.
labda katika ccm mnaweza msiwe na fikra kama hizi au hata labda Chadema, lakini kinachoshangaza sana ni mtu ambaye naweza kumuweka katika kundi la watu walioona mwanga wa shule unaweza ukatoka hadharani na kusema mwanachama wa chama kingine akizidiwa na njaa ndio anahamia CCM what kind of crap is this. kwa hiyo ccm kazi yake ni kununua wanachama wa vyama vingine walio na njaa?!!
Kwa upande wangu mimi kuwa affiliated na chama chochote cha siasa ni mapenzi yangu mimi mwenyewe na sio kwa sababu nimepewa hela. na labda wewe ni mmoja wa waliokuwa na njaa ukapatiwa hela na CCM ndio maana unaweza hata kupinga vitu ambavyo ni crystal clear.
Sio kosa kuwa mwanachama wa ccm kuna wanachama wa ccm ambao ni safi na wana mapenzi mema kwa hili taifa, lakini wengi wa wana ccm are rotten to the core na sio jambo la kuficha na wengi wao are after money.
Nina imani iko siku na siku hiyo sio mbali atatokea mzalendo wa kweli na hapo ndipo wale waliozoea kupokelewa kama wafalme baada ya kukwapua mafedha ya nchi hii watatamani wahamie pluto kwa sababu mars kutakuwa karibu sana.
Nyie mdanganyeni tu Kimaro, watu kama yeye wanaopiga makelele na kuaibisha wazee wastaafu hawatakiwi ccm. Sasa kibao kimegeuka na itabidi tu aachie jimbo kwa wanaccm wenye kujenga nchi na sio wapiga makelele tu bungeni.