Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.
Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana
Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Nshawahi kutana na jamaa ana miaka 38, ana binti wa miaka 21. Nikajua ni mdogo wake, baadae ananitambulisha kuwa huyo ni mwanae wa kumzaa.Si ndio maana yake, kama ana miaka 40 ndoani maana yake tunaashum mtoto wake wa kwanza ana miaka 40 au 39, yaani mtu wa huu umri anaweza kuwa mzazi wako si ndio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nshawahi kutana na jamaa ana miaka 38, ana binti wa miaka 21. Nikajua ni mdogo wake, baadae ananitambulisha kuwa huyo ni mwanae wa kumzaa.
Lengo lilikuwa ni kuonesha kuwa inawezekana kabisa baadhi ya members humu ndani huyu dada akawa ni bibi yao kwa kigezo cha umri wao na umri wa wazazi wao.Inatokea ndio ila sio kwangu ..hata hivyo mbona wamepishana kawaida tu ni jambo la kawaida
Member wapo, mimi nilikuwa namzungumzia huyo memba niliyemquoteLengo lilikuwa ni kuonesha kuwa inawezekana kabisa baadhi ya members humu ndani huyu dada akawa ni bibi yao kwa kigezo cha umri wao na umri wa wazazi wao.




Chukua kopo uwahi msalani umebanwa na haja weweNi bora umejisemea ukweli kuwa huna "mana" wala maana, hata mimi nimeliona hilo. Unajiandikia tu mradi uandike. Sikushangai.