Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Katika wanawake wote hawa kuna watu wanakutaka wewe? Sikufahamu ila kupitia maandiko yako tu hapa huwa nakuona hufai, nahisi ni mbibi na mtu wa hovyo.
 
Nakupenda sana tafuta weekend moja tukale nyama ya nguruwe maeneo ya Tandika
Ukipata nafasi nipm
Nakupenda sana
Kwa kuandika hayo unaonesha wazi jinsi ulivyojawa na ujinga. Kwa akili yako eti unawakejeli Waislam? Soma hiyooo...

“Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8)
 
Katika wanawake wote hawa kuna watu wanakutaka wewe? Sikufahamu ila kupitia maandiko yako tu hapa huwa nakuona hufai, nahisi ni mbibi na mtu wa hovyo.
Usingefata uzi ukaja kuandika uliyoyaandika.

"Wafanya kisebusebu na kiroho kipo papo".

Sikushangai.
 
क्रछ गछ ऊढ थगछ ईए कहझ ㄶ ㅀ ㅠㅍ
ㅍ nahix umenielew
Kukuelewa ulichoandika na kuki translate kisha ukaja kukipaste hapa kuna ajabu gani na siku hizi tuna google translate?
 
Nashawishika kukutongoza ila nkiwaza unaweza kuolewa mke wa nne roho wa bwana ananijia na kunambia usimjaribu mke wa jiran yako
 
kwa ni we bibi,kutongozwa kukoje?

ebu nipe mfano wa sentensi moja tu ya mtongozo

usikute umesifiwa huko unakuja sema umetongozwa

Au nikuanzie hapa saivi,sema nikuanzie hapa saivi,,,,,

bahati ako leo sina nyege....
 
Hamna popote ulipotongozwa kwenye thread labda useme wanaokufata PM

ila kwenye thread unadanganya MUONGO MKUBWA WEWE umesifiwa tu au

ukute umeambiwa vimaneno vitamu eti unasemaa umetongozwa

Kutongozwa unakujua wewe?? ya PM yaache pm tuletee ushahidi wa mfano m 1 tu

uliotongozwa OPENLY kwenye thread,lete hapa tuone mfanowe.

WAONGO

Mtaisikia mbingu kwenye bomba la maji ya dawasco
 
Back
Top Bottom