Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Hamna popote ulipotongozwa kwenye thread labda useme wanaokufata PM

ila kwenye thread unadanganya MUONGO MKUBWA WEWE umesifiwa tu au

ukute umeambiwa vimaneno vitamu eti unasemaa umetongozwa

Kutongozwa unakujua wewe?? ya PM yaache pm tuletee ushahidi wa mfano m 1 tu

uliotongozwa OPENLY kwenye thread,lete hapa tuone mfanowe.

WAONGO

Mtaisikia mbingu kwenye bomba la maji ya dawasco
Hasira za nini? Umetumwa?
 
kwa ni we bibi,kutongozwa kukoje?

ebu nipe mfano wa sentensi moja tu ya mtongozo

usikute umesifiwa huko unakuja sema umetongozwa

Au nikuanzie hapa saivi,sema nikuanzie hapa saivi,,,,,

bahati ako leo sina nyege....
Ndiyo umamaliza?

Kujidai kote huko kumbe wewe ni wale "nyege mshindo"!

Rijali wa kweli hana siku, saa wala sehemu. Kumbuka hilo.
 
Wewe huna hadhi hiyo.
Nawafahamu mpaka waliokuweka mjini ulipokuwa kichinchiri.
Umeacha?
Naomba kukiri kuwa ni kweli mimi kwako sina hadhi kutokana na umri, lakini kwa Muislamu safi wa swala 5 kama wewe, usiangalie hadhi yangu, angalia moyo wangu, kama jinsi ile Bi Khadija akiwa na umri wa miaka 40, alimkubalia Mtume Mohammed (SAW) akiwa na umri wa miaka 25 tuu ingekuwa ni enzi hizi, Mtume angeweza hata kuitwa ni ki ..cha Bi Khadija!.

Kwa faida ya wasiojua, mke wa kwanza wa Mtume Mohammed (SAW) ni Hazrat Khadija, ambaye alijulikana zaidi kwa jina la Tahira, ambaye ni binti wa Bi.Fatima bint Za’idah na baba yake alikuwa mfanyabiashara tajiri na kiongozi Mzee Khuwaylid ibn Asad ibn Abdul-Uzzi. Bi Khadija aliolewa kwanza na Abu Hala ibn Zarrara Tamimi akazaa naye watoto wawili wa kiume, Hind na Harris kisha mumewe akafariki, Bi Khadija akaolewa ndoa ya pili na mwanaume tajiri Atiq ibn A’idh ibn Abdullah Al-Makhzumi na kuzaa binti Hindu, mume wa pili naye akafa bila kupata mtoto wa kiume Bi Khadija akarithi mali nyingi hivyo kuwa ni mwanamke mjane tajiri, ndipo akaolewa na Mtume Muhammad (SAW) wakati huo Bi. Khadija akiwa na umri wa miaka 40 huku Mtume akiwa just 25 years ambapo enzi hizo Mtume bado hajawa Mtume na ni Bi Khadija ndie alimuanza!.

Age difference kati ya Mtume Mohammed (SAW) na Bi Khadija ni 15 years, hivyo wewe Faiza kama ni kunizidi umri I guess haipiti hata miaka 5!, ila hata ingekuwa 15!, mimi nakuapia Walahhi ukinikubalia hata dini nabadili na kusilimu!.

Kupendwa pendo la kweli na mtu kama mimi ambaye nilitangaza kutafuta mchumba kutatokea foleni ndefu kutoka mitaa ya hapo kwenu Gerezani hadi Feri!.

Hiyo ya kuacha...nakuomba unijaribishie tuu ndio utajua ule ni urongo na uzushi ila kiukweli kabisa nakupenda we Faiza!, tena nakupenda kwa dhati!, nisichokijua ni marital status yako, mimi kwa kabila langu, hatuna mwisho wa idadi, ni uwezo tuu.
P
 
Mara nyingi nimeona majibu yako kwa huyo Pascal Mayalla huwa yana ukali fulani, nahisi baina yenu mtakua mnapendana bila kujua, take it to another level, life is too short to ignore a chance to happiness.
Mkuu MK 254, sio bila kujua Faiza anajua nilimpenda ile siku namuona tuu kwa mara ya kwanza, love at first sight, but very unfortunately mimi ndio nilikuwa nimetoka bush nikaletwa mjini na Kaka zake, nikaajiriwa na Masai Studio kuendesha kipindi cha Kiti Moto, hivyo kujua kuwa nampenda Faiza anajua.

Aise bro umeporomoka mpaka bibie nahisi kawa pink kwa aibu! Tena yaonekana waijuwa Koran, what a big plus, tusubiri tusikilizie kama utapewa au la, life is too short to ignore beautiful and pretty petals like her...
 
Mara nyingi nimeona majibu yako kwa huyo Pascal Mayalla huwa yana ukali fulani, nahisi baina yenu mtakua mnapendana bila kujua, take it to another level, life is too short to ignore a chance to happiness.
Mkuu MK 254, sio bila kujua Faiza anajua nilimpenda ile siku namuona tuu kwa mara ya kwanza, love at first sight, but very unfortunately mimi ndio nilikuwa nimetoka bush nikaletwa mjini na Kaka zake, nikaajiriwa na Masai Studio kuendesha kipindi cha Kiti Moto, hivyo kujua kuwa nampenda Faiza anajua.
P
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
ili iweje?na utongozwe vipi? wewe lete nyapu watu tupige tuendelee na mipango yetu hutaki baki na hicho chombo chako cha kutolea uchafu ,
 
Back
Top Bottom