Ikiwa kwa neno "mdini" unamaanisha Muislam basi elewa kuwa kwa kukujuza kuhusu Uislam nakutakia mema sana. Nakutakia uondokane na kuabudu binaadam mwenzio. Nakutakia mema ya kusoma Qur'an uielewe siyo kusoma kitabu ambacho hata hakijulikani kimetokea wapi.Dah! Bibi nitakua nimechelewa au vipi maana mimi na wewe huwa tunavutana kiaina....japo sijui kama mapenzi yetu yatashinda udini wako, na pia ikitokea nimezaa nawe, mtoto wa kiume asije kujiunga mashababi au wa kike asizuiwe elimu, duh.... ila kwa ulivyo mdini hatuwezi kuendana, wanasema mapenzi huweza vyote lakini wewe ni mfupa uliomshinda fisi.
Ikiwa kwa neno "mdini" unamaanisha Muislam basi elewa kuwa kwa kukujuza kuhusu Uislam nakutakia mema sana. Nakutakia uondokane na kuabudu binaadam mwenzio. Nakutakia mema ya kusoma Qur'an uielewe siyo kusoma kitabu ambacho hata hakijulikani kimetokea wapi.
Mwisho wa uhai usije ukasema sijafikishiwa ujumbe.
Uislam kweli nimeukuta, hujakosea.Huna jeuri ya kunielekeza maana hata wewe huo uislamu umeukuta, umeletwa na waarabu baada ya kubaka mababu zetu kule pwani na kuwabeba wengine kama watumwa. Kitabu sina haja ya kukisoma maana asilimia kubwa ya wanaokisoma huanza kujilipua mabomu, hamna taifa linaloongozwa kwa misingi ya hicho kitabu na likabaki salama, lazima waanze kuchinjana wenyewe na kulipuana huku wakizuia mabinti wasipate elimu.
Hivyo ukiruhusu nikuoe, hayo ya udini uweke pembeni na watoto tutakaozaa wasijiunge kwenye kundi la mashababi, na mabinti wapate elimu, ndio kanuni/shart zangu hizo, mengine yote nitakuvumilia ikiwemo kuwapa wanaJF elimu yako ile ambayo huwa unawashangaa kama walienda kusomea ujinga shuleni.
Wewe Ni mpumbavu wa mwisho,Ikiwa kwa neno "mdini" unamaanisha Muislam basi elewa kuwa kwa kukujuza kuhusu Uislam nakutakia mema sana. Nakutakia uondokane na kuabudu binaadam mwenzio. Nakutakia mema ya kusoma Qur'an uielewe siyo kusoma kitabu ambacho hata hakijulikani kimetokea wapi.
Mwisho wa uhai usije ukasema sijafikishiwa ujumbe.
Tizama unavyo dhihirisha upuzi wako,sijawai kuona mfia dini mweupe kichwani Kama wewe haya Ni matokeo ya kusoma elimu ahera tuuh bila kua na elimu dunia kichwaniHiyo inamaanisha niliyoandika yamekuongia na hauna hoja za kuyajibu.
Ikiwa kwa maneno "mfia dini" unamaanisha Muislam basi elewa kuwa kwa kukujuza kuhusu Uislam nakutakia mema sana. Nakutakia uondokane na kuabudu binaadam mwenzio. Nakutakia mema ya kusoma Qur'an uielewe siyo kusoma kitabu ambacho hata hakijulikani kimetokea wapi.Tizama unavyo dhihirisha upuzi wako,sijawai kuona mfia dini mweupe kichwani Kama wewe haya Ni matokeo ya kusoma elimu ahera tuuh bila kua na elimu dunia kichwani
Sina Mana hiyo, shirikisha ubongo kabla ya kuandikaIkiwa kwa maneno "mfia dini" unamaanisha Muislam basi elewa kuwa kwa kukujuza kuhusu Uislam nakutakia mema sana. Nakutakia uondokane na kuabudu binaadam mwenzio. Nakutakia mema ya kusoma Qur'an uielewe siyo kusoma kitabu ambacho hata hakijulikani kimetokea wapi.
Mwisho wa uhai usije ukasema sijafikishiwa ujumbe.
Tatizo kubwa la Faiza ni Mwalimu wa kiswahili kwa fani yake hapa NchiniJibu hoja zake. Usijifiche kwenye makosa yake ya kisarufi.
Hoja ya mtongozo mwambie yess or No mbona simple unakwama wapi my dear sister!!?Hoja ipi?
Achana na mambo ya sadaka U just mjibu mwenzio aliyelte maombi yake kwako yess or knowSasa hiyo nayo hoja au kiranga mshindo?
Apitie uzi. Aanze kwa sadaka tu.
Faiza kasunuka kuna vijike humu navyo vinamtaka kweli kazi ipo!!!!Mwanamke unamtaka mwanamke mwenzio!
Nyie ndiyo mnaotuletea vimbunga duniani.
Hiyo harufu ya mfu aliyeoza si mchezo. Kinyaa.