Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

hv ni kitoto gani cha humu JF kinachothubutu kumtongoza bibi yetu FaizaFoxy ??? hv laiti watu wangejua umri halisi wa huyu bidada basi kila sku wangekuwa wanapita na kumpa shkamoo lakn humu JF hatujuani kwa hyo watu wanahisi faiza naye ni dada kama dada wengne ....huyu ni bibi jaman ohoooo
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
 
Mimi nimekuja nipo hapa
 
Mimi nimekuja nipo hapa
Wahenga walisema "ukiona nyani mzee, ujue kakwepa mishale mingi". Huyu kakutana na kila aina ya mtongozo. Wengine aliwapiga chini, wengine walimpiga chini na wengine walikula mambo wakatokomea kusikojulikana kwahiyo unayofanya hapa ni kama marudio. Ni sawa na kumshika shika mwanamke wa kikurya aliyekeketwa maana nyegezi hazitapanda.
Acha kutongoza mama zako wadogo
 
Nikichepuka uchelewi kunisomea albadil mmmh wewe hapana...
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
 
Ikiwa kwa maneno "mfia dini" unamaanisha Muislam basi elewa kuwa kwa kukujuza kuhusu Uislam nakutakia mema sana. Nakutakia uondokane na kuabudu binaadam mwenzio. Nakutakia mema ya kusoma Qur'an uielewe siyo kusoma kitabu ambacho hata hakijulikani kimetokea wapi.
Mwisho wa uhai usije ukasema sijafikishiwa ujumbe.
As if ushawahi kuonana na Mungu?
 
Back
Top Bottom