Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Nakuhitaji wewe sadaka unayohitaji niitume haitopokewa na Mungu kwa maana nimeitoa bila kuwa na utayari moyoni ni kana kwamba umenishuruti ama umejiuza kwangu.
Ooh na huyo Mungu wako ndiye alikuagiza utongoze nje ya ndoa?
 
Heri ungetumia muda wako kulitafutia maana yake na si kuita ujinga alihari hujui maana yake
Nimelitafuta sijaona, linalofanana nalo nimeona ni "saruji" na lingine "theluji".

Wewe ilitumiwa muda japo kidogo kuleta futa neno sahihi au ndiyo umetumia ujinga wako tu kuandika neno ambalo halipo?

Na huyo "alihari" ndiyo nani?
 
Haya turudi kwenye mada naona unaandika ujinga ujinga hapa
 
Nimelitafuta sijaona, linalofanana nalo nimeona ni "saruji" na lingine "theluji".

Wewe ilitumiwa muda japo kidogo kuleta futa neno sahihi au ndiyo umetumia ujinga wako tu kuandika neno ambalo halipo?

Na huyo "alihari" ndiyo nani?
Soma post #984 kisha tuendelee
 
Sadaka imekushinda utaweza ndoa?

Au umesahau juu hapo uliandika nini kuhusu sadaka?
Sijashindwa sadaka kutoa ila napenda nitoe sadaka ikiwa roho yangu imekubali na si kuambiwa ama kushurtishwa, natoa sadaka nikiguswa na jambo hilo. Sitotoa sadaka kukufurahisha wewe ama ili iwe kichocheo cha kukupata wewe la hasha.
 
Zakutosha.

Safi sana.

Kama una hela zakutosha, tuma sadaka namba hii 0654 060 290 kituo cha yatima.

Kisha weka ushahidi hapa tuone kiasi ulichotuma halafu tutaendelea kuyajenga.
 
Back
Top Bottom