Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Naomba kula mzigo wako ndiyo sababu kubwa ya kukupenda
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Weka list ya wanaokutongoza PM hadi kwenye nyuzi za watu washindane.... Ili kila mmoja ajuwe anashindana na nani kwenye kukutongoza...!!!
 
Back
Top Bottom