Kazetela
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 1,716
- 1,646
Jamani jamani yani hatari
Jamani jamani yani hatari
Post #996Mimi nataka wewe mjanja mjanja unifahamishe "seruji" ndiyo nini? Na "Alihari" ndiyo nani?
Bado hujajibu hilo au ulikuwa unajiandikia tu mambo usiyoyajuwa? Unaweza kusema ulichokusudia ili nikusaidie kwa kukupa darsa maana Kiswahili ni lugha mama kwangu, kwa namna unavyoandika nna uhakika Kiswahili kwako si lugha mama.Hapo tunarudi nyuma usitake kufufua Makaburi bwana!
Jivunie kiswahili maana ulisoma na Nyerere.Bado hujajibu hilo au ulikuwa unajiandikia tu mambo usiyoyajuwa? Unaweza kusema ulichokusudia ili nikusaidie kwa kukupa darsa maana Kiswahili ni lugha mama kwangu, kwa namna unavyoandika nna uhakika Kiswahili kwako si lugha mama.
Naomba namba yako nikurushie sasa hiviKabla ya kuanza porojo kwanza tuma sadaka namba hii 0654 060 290 kituo cha yatima.
Ndio nanunua....,
Bei gani...?????
I Think you have no Idea how great ,safe and calm it feels to love such a Practical, determined and decided woman like you!!
And also you seem to be pretty awesome.
!
!
!
!
i can't deny this , your Taste in music is impeccable
Hela ipo ya kuhakikisha mahitaji muhimu ya mwanadamu yanafikiwa in terms of Quality and Quantity..... Binafsi bado sijawa kama Manji..Modewji though am working hard kuhakikisha siku za usoni iwe vile navyohitaji. Lakini iyo ni Tisa ,kumi itabaki kua vilevile yakwamba hisia zangu zinaniaminisha kua You are undeniably the Sexiest woman on this world ,NO man will hold you without getting HARD!! .Mistari minene hiyo, imenisuuza moyo.
Una hela wewe?
It doesn't matter, hela uliyonayo unaitolea sadaka ili iongezeke?Hela ipo ya kuhakikisha mahitaji muhimu ya mwanadamu yanafikiwa in terms of Quality and Quantity..... Binafsi bado sijawa kama Manji..Modewji though am working hard kuhakikisha siku za usoni iwe vile navyohitaji. Lakini iyo ni Tisa ,kumi itabaki kua vilevile yakwamba hisia zangu zinaniaminisha kua You are undeniably the Sexiest woman on this world ,NO man will hold you without getting HARD!! .
It doesn't matter, hela uliyonayo unaitolea sadaka ili iongezeke?
Haya fanya haraka tuma sadaka zako. Huyu analea watoto yatima kwa mamia. Sadaka zako anza kuelekeza na huko 0652060900Sadaka na Zaka natoa kama ilivyoamriwa kwakua ni Pesa nayoitafuta kwa njia halali .
Ninaamin kwa swali hili ulouliza , nina kisa sababu yakusema haya
"Unakila sababu ya kua mama bora , nilikua sahihi kusema maneno haya, Determined, practical ,decided ".
ujue faiza mi ntakufa kwa ajili yako..na nakuhakikishia ukinikubalia ntakupa likes nyingi hapa JF,,hata ukiandika upupu ntakutetea na kukuunga mkono mpaka trako,,,,i will make sure you stand as a top of the topper girls(hapa nimetumia kingreza ili kukupa utisho na uone mimi kipanga)...pia ntahakikisha hakuna mtu wa kukupiga ban(ingawa mi sio moderator),,i lov you baby faiza,,baby mama,,senora,,babyface faiza,,,and i know you are hotter than the tropic ata vile sijawahi kukuona...today am yours(in enrique iglesias voice)...Haswaa, waeleze hao majuha wanaotongoza avatar.