Unauza?Una hela wewe?
Hela kwangu si tatizo ila tatizo ni wewe kukubaliUna hela wewe?
Njoo nikupeleke katika ulimwengu wa mahabati,nikufikishe hata usipofika au pale hujawahi kufika.Una hela wewe?
Weka list ya wanaokutongoza PM hadi kwenye nyuzi za watu washindane.... Ili kila mmoja ajuwe anashindana na nani kwenye kukutongoza...!!!
Safi sana.Hela kwangu si tatizo ila tatizo ni wewe kukubali
Haya. Ila nachojua mimi saivi mtu hatongozwi. Anapewa tu taarifa kisha aamue mwenyewe kama ANATOA au HATOI.Jisomee mwenyewe uzi huu.
Bila sadaka hujakubali?Safi sana.
Kama una hela kama unavyojigamba, acha porojo tuma sadaka namba hii 0654 060 290 kituo cha yatima.
Kisha weka ushahidi hapa tuone kiasi ulicho tima halafu tutakupa maelezo mengine. Mimi nimeshakubali.
Hayo ndo maneno mataamu ya kukupata kigoli wazamani..."Seruji" ndiyo mdudu gani tena? Makubwa haya.
Ahahahahahaahahaha duh.... haya nimekuelewa... Unaweka na ID zao?Ukiona post nine I quote bila wewe kuiona chanzo Chake ujuwe ilitumiwa pm. Zipo zote humu nazianika.
Nakuhitaji wewe sadaka unayohitaji niitume haitopokewa na Mungu kwa maana nimeitoa bila kuwa na utayari moyoni ni kana kwamba umenishuruti ama umejiuza kwangu.Mkono mtupu haulambwi.
Heri ungetumia muda wako kulitafutia maana yake na si kuita ujinga alihari hujui maana yakeHilo neno "seruji" silifahamu labda tamu kwako unaelielewa kwangu naona ni ujinga fulani tu.