Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
mtoto wa Pwani weye..... hamtongozwi nyie.

hapa namtuma mpiga ngoma akulete ghetto. najua naye atakutafuna huko njiani lakini haidhuru najua ghetto kwangu atakufikisha tu!!
 
Dada faiza imekuwaje leo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanapandisha nyege kwa avatar tu na id.

Sasa wanakera hao, wananijazia pm bila mpango.

Mwengine eti mie mbunge ntafanya maisha yako yawe mazuri.

Mwengine mie mfanya biashara naenda china, utapata chochote ukitakacho.

Mwengine yeye eti anaweza kutia goli tisa bila kuchoka.

Yaani wazimu mtupu.

Sasa uwanja huu. Wote wanasepa.

Na nnawaambia mkome kunifata majukwaa mengine na pm mwanamme kweli aje hapa.
 
Hahahahhahahahhaha
Mbavu zangu mimi
 
FF do you still need more?

Si utangaze mwisho wa mpambano? Tayari.nimeshakupata swthrt😘😘😘😘

Nasubiri tuanze maisha mapya tu ASAP
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
FaizaFoxy ukinikubalia nitakuonyesha jinsi ya kuu trade forex na kupiga pesa kama mimi
 
Kuna watu wanapandisha nyege kwa avatar tu na id.

Sasa wanakera hao, wananijazia pm bila mpango.

Mwengine eti mie mbunge ntafanya maisha yako yawe mazuri.

Mwengine mie mfanya biashara naenda china, utapata chochote ukitakacho.

Mwengine yeye eti anaweza kutia goli tisa bila kuchoka.

Yaani wazimu mtupu.

Sasa uwanja huu. Wote wanasepa.

Na nnawaambia mkome kunifata majukwaa mengine na pm mwanamme kweli aje hapa.
Bibie faiza Mimi nakutaka tukiwa wote watu wa makamo nadhani tutaendana.. Please singatia ombi langu sweetie
 
Back
Top Bottom