rutegeramisi gwategera
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 446
- 496
Gombea Ubunge jf una wafuasi wengiHaswaa, waeleze hao majuha wanaotongoza avatar.
Gombea Ubunge jf una wafuasi wengiHaswaa, waeleze hao majuha wanaotongoza avatar.
Sawa nitafanya ivo kama ndio njia sahihi ya kunionyesha njia.Haya fanya haraka tuma sadaka zako. Huyu analea watoto yatima kwa mamia. Sadaka zako anza kuelekeza na huko 0652060900
Vijana mnakwama sana, Umeambiwa utongoze wewe unaanza kutaka kujifunza lugha, Jukwaa la lugha si lipo? FaizaFoxyNaomba nikuulize , kiswahili fasaha ni kusema "wacheni" au "acheni". Ni hilo tu bibi
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibuni hapa, mshindane kunitongoza
Sio hapahapa, ila niitume PM kwako na tuyajengee hukohuko sasaUkishatuma weka screen shot hapa hapa.
Nipe location nije nikuoneNapatikana kwetu.
Una hela wewe?
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.Baada ya kusoma na kufuatilia mengi yaloandikwa nimeona shida mahala, bibi anahitaji faraja na mtu wa kumliwaza japo akili yake itulie maana bibi anafika mahala anatukana kabisaaaa! Wakuu mtafutieni bibi kibabu chakumfaa na kitakachomtuliza awe poa na mtulivyu ka mtu wangu imuheshimue na kumpenda Sky Eclat na wengine ambao sijawataja ambao ni watu wa ukweli sikuzote
Sawa bibi lakini ningependa sana unipe nafasi tu ya kuwa karibu na wewe nitakifunza mengi mno. Sina nia ya kuharibu ndoa yako na babu. Mimi ni nani kwanza bibi yangu. I like youAnza kwa kutoa sadaka.
Anza kwa kutoa sadaka. Kuna msikiti vijijini huko wametangaza wanachangisha Waislam na wasio Waislam wale Eid pamoja. Furaha kwa wote. Watumie sadaka yako namba hii 0654316083Sawa bibi lakini ningependa sana unipe nafasi tu ya kuwa karibu na wewe nitakifunza mengi mno. Sina nia ya kuharibu ndoa yako na babu. Mimi ni nani kwanza bibi yangu. I like you
Post zaidi ya 1,000 lakini hakuna hata mmoja aliyetoa sadaka.kumbe tuko wengi 🙄
Post zaidi ya 1,000 lakini hakuna hata mmoja aliyetoa dadaka.
Anza kwa kutoa sadaka. Kuna msikiti vijijini huko wametangaza wanachangisha Waislam na wasio Waislam wale Eid pamoja. Furaha kwa wote. Watumie sadaka yako namba hii 0654316083