Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Nyege mshindo wapi Bibie?

Wewe sema una mume wako na nimekuona unawauliza hela vijana waliokurushia ndoano kama wana hela.

Hapa kikwazo ni kimoja tu kuwa tayari wewe ni mke wa mtu hivyo haiwezekani kwasasa kuwekwa ndani na mwanaume mwingine.

Mtume Muhammad alimuoa mke wake wa kwanza yeye akiwa na miaka 20s na Bi khadija akiwa na miaka 40s na wakati huo huo Bi khadija ndiyo alikuwa na Mali/utajiri.
Kwahiyo hapa unajaribu kutueleza mtume alikuwa Marioo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
tuma picha tukuone sisi wageni
 
Mkuu... Naomba niwekee kapicha baada ya kujiridhisha ili niwepo kundini
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Mi unanidatisha tamaa nishatongoza Sana mpaka nilihic can bahati
 
Back
Top Bottom